Ndoa ya mkeka!!!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
100
Hivi ni sababu gani hasa inayowasababishia watu mpaka kufikia hatua ya kufungishiana ndoa ya mkeka?
 
ile si ndoa bwana ukizingatia maana nzima ya ndoa,ule ni uhuni tu wa watu wachache na ndo maana huwa hazidumu
 
Hivi ni sababu gani hasa inayowasababishia watu mpaka kufikia hatua ya kufungishiana ndoa ya mkeka?

Yaani bado zipo hadi leo! Anyway, uzoefu wangu ni kuwa sababu kubwa huwa ni ya kiuchumi. Wazazi wa mwanamke wanataka kujivua majukumu ya kuendelea kumlea binti yao wakati amekua na hana dalili ya kuondoka - japo kuna ushahidi kuwa anafanya mavituz na majamboz.

Btw: Dena na MR kabla hamjauliza (hamuaminiki nyinyi ati), uzoefu wangu si mimi binafsi kufungishwa hiyo ndoa ya mkeka ila ni kwa kuona wengine.
 
tena huko ndo nnakokutaka huko,nifanyien utaratibu mkuu nije nile raha duniani

shauri lako, mara una karibishwa anaingia shehe na wapambe... Tayari ndoa, huenda huyo jamaa kina dada wa uk washamgomea, so jipeleke tu.
 
shauri lako, mara una karibishwa anaingia shehe na wapambe... Tayari ndoa, huenda huyo jamaa kina dada wa uk washamgomea, so jipeleke tu.
mhh nakweli bora umenigutua,maana haya maukaribisho mengine haya yana walakin
 
Back
Top Bottom