MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Wamekutana mitandaoni hawajuani,
lakini wamependana mpaka wakaamua
kufunga ndoa. Wakatafuta muozeshaji mtandaoni,
naye akakubali kuwaozesha.
Hotuba ya kufunga ndoa ilikuwa hivi:
Wewe naniwewe@popoteulipodot.com, umekubali kumuoa
naniyule@humjuihakujuidot.com, na kukaa naye
kwa karaha na maudhi mpaka mtandao utakapo watenganisha?
Wote kwa pamoja - Tumekubali.