Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Kwani hujawai kukaa bila mavaz mbele yake uka muona kama machine inasimama?
 
Dada nakupa pole sana, tatizo lenu wadada mnakuwa hamjielewi kabisa nyie unakuta umekutana na mdada umempenda uko serious anakwambia mm penzi mpaka unioe ona sasa interview ni muhimu sana

Huyo mumeo mchunguze vizuri pia wewe ni mzembe two years no sex serious?
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Kuna matatu
1.Jogoo halisimami tena
2.Masharti ya mganga
3.Kiafya hayupo sawa (mwathirika na hata akuambukize).
 
I dated him for 4 years before marriage , and we used to have sex normally with no doubt tatizo lilianza after posa,
Kuna nguvu za giza nyuma ya hili tatizo lako. 100% nina uhakika ni hili. Mimi ni mhanga kama wewe.
 
Nilishaondoka akanywa sumu akawahishwa hospitali na tukawekwa kikao akajib atakuwa sawa, unajua sometimes inakufanya ujiskie vibaya kila siku kuwapigia kelele ndugu juu ya tatizo la ndoa yako na mtu wao mwisho wa siku wanaamua kukausha,. Nshafanya effort nyingi sana juu ya hili tatizo
I wish unikutanishe na huyo mmeo kuna kitu naweza kumsaidia.
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Hivi hz mada za humu jf ni movie au jamani miaka miwili kweli bila kufanya au ana UKIMWI anaogopa kukuambia dah eti ukimgusia hilo suala anakimbiamola nistiri mja wako
 
Jaribu kumtega vaa vinguo vinavyokuchora jipitish mbele yake kila wakat pia anza kumchezea ukiw karibu naye kifua sana sana akikuacha ujue umeolewa na shoga
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Hapa nahisi kuna uongo ndani yake. Kuna mambo MENGI hujasema.

Yawezekana
1. Ulienda kwa mganga akupe limbwata ili mmeo akupende n.a. matokeo yake ndo hayo

2. Huyo mmeo yawezekana ana tambiko lake ambalo alilipata baada ya kukuoa n.a. tambiko hilo lina sharti kuu la kutokufanya kuch kuch hotahe na wewe.

Swali la uzushi
1. Kama mlikuwa mna do kabla hajatoa posa why hukupata mimba???

2. Yawezekana alishawahi kuta ARV kwenye mkoba wako then alipopima kwa siri hakukutwa n.a. janga lako akaona akupotezee mazima, NI KWELI??????

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Moja ya sababu ya kuomba talaka hiyo ni sababu kubwa.

Kama hakwambii tatizo lake ni nini sasa hiyo ndoa ni ya nini?

Sishauri watu kuachana lakini sex ina nafasi kubwa katika ndoa, kama mwanaume hawezi hilo hata kanisa katoliki wanavunja hiyo ndoa tofauti na watu wanaodanganywa kwamba ndoa ya kanisani inavunjwa mahakamani tu.

Ndoa ya hivyo kanisa kinaivunja bila kupepesa macho, huwezi kuishi na mume khanisi.
eti khanithi khaaaah
 
Hapo Kuna tatizo dadangu

Jaribu kumfuatilia nyendo zake kwa Siri kubwa mfano simu yake rafk zake maeneo anayopenda kutembelea utapata kitu tu

Je unapomgusia swala la kusex huondoka nyumban siku3 huenda wapi siku hizo zote?

Miaka 2 n mingi dadangu na muda.wa kuzaa n huu

Fuatilia nyendo zake utaujua ukwel tu
mlongo ko unataka kusemaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom