Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza.....

Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha hiyo Gaza bila kuskliza kenge yeyote maana Israel ingefutika tukiiona hivi hivi.

Inaonekana huu mpango ulikua umesukwa na mataifa yote ya ile dini, na ilikua HAMAS washambulie halafu hao wengine waje kwa kumalizia, ila Marekani wakaingiza dubwana la meli pale na kusema asiyependa maisha yake ajaribu kujikuna, wakaufyata wote ikiwemo kubwa la magaidi wa kidni Iran.
=========================

IDF says 800 tunnels discovered in Gaza op, 500 destroyed or sealed​

Military says hundreds of kilometers of tunnels, many of which link Hamas’s ‘strategic assets,’ eliminated; IDF Arabic spokesperson urges Shejaiya battalion to surrender​

The Israel Defense Forces said Sunday that troops have discovered more than 800 tunnel shafts in the Gaza Strip since the beginning of the ground offensive targeting the Hamas terror group that began in late October.

The military said that around 500 of them have already been destroyed, either by setting off large explosive charges inside or by sealing them.

According to the IDF, many of the tunnels connect Hamas’s “strategic assets.”
 
Hakuna cha kushangaza kwani miungu wa kuabudu wako wengi na mtu yuko huru kuchagua amuabudu yupi kati ya wa amani na wa shari ila mimi kitu ninachokataa ni mtu kutaka kunichagulia yupi nimuabudu kwa kufuata imani yake au utamaduni wake. This is nonsense.
 
Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza.....

Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha hiyo Gaza bila kuskliza kenge yeyote maana Israel ingefutika tukiiona hivi hivi.

Inaonekana huu mpango ulikua umesukwa na mataifa yote ya ile dini, na ilikua HAMAS washambulie halafu hao wengine waje kwa kumalizia, ila Marekani wakaingiza dubwana la meli pale na kusema asiyependa maisha yake ajaribu kujikuna, wakaufyata wote ikiwemo kubwa la magaidi wa kidni Iran.
=========================

IDF says 800 tunnels discovered in Gaza op, 500 destroyed or sealed​

Military says hundreds of kilometers of tunnels, many of which link Hamas’s ‘strategic assets,’ eliminated; IDF Arabic spokesperson urges Shejaiya battalion to surrender​

The Israel Defense Forces said Sunday that troops have discovered more than 800 tunnel shafts in the Gaza Strip since the beginning of the ground offensive targeting the Hamas terror group that began in late October.

The military said that around 500 of them have already been destroyed, either by setting off large explosive charges inside or by sealing them.

According to the IDF, many of the tunnels connect Hamas’s “strategic assets.”
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
 
Huyu kichaa kila akisikia uwongo wa Israel anauleta hapa, hivi hao mashoga wangegundua hayo ma tunnels siwangeita fox news, cnn, bbc na European media 😄

Ukiona hawakuwaita ujuwe wazi wanacho ongea ni uwongo, wali acting ile movie ya Alshifaa Hospital ilipo kosa soko wakaifuta, hata hizo tunnels sijui wameziona wako usingizini wana ota si bora wakatafute my producers na madirectors kutoka Bollywood wanaweza kutengeneza filim nzuri sana ikapata soko India 😄

Au waligundua yale mafake tunnels walipoingia wakafukiwa humo humo wapo hai 😄
 
Ngoma ya kuwasambaratisha mazamayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
mnamuaudu shetani nyie , muda utawaamsha , Hakuna mungu anakuambia umchinje mwanadamu mwenzio , it means kawaumba nyie tu na sisi katuumba nan ? NARUDIA TENA MNAMUABUDU SHETAN AMKENI
 
Huyu kichaa kila akisikia uwongo wa Israel anauleta hapa, hivi hao mashoga wangegundua hayo ma tunnels siwangeita fix news, can, bbc na European media

Ukiona hawakuwaita ujuwe wazi wanacho ongea ni uwongo, wali acting ile movie ya Alshifaa Hospital ilipo kosa soko wakaifuta, hata hizo tunnels sijui wameziona wako usingizini wana ota si bora wakatafute my producers na madirectors kutoka Bollywood wanaweza kutengeneza filim nzuri sana ikapata soko India

Au waligundua yale mafake tunnels walipoingia wakafukiwa humo humo wapo hai
ujinga wako ni kuwa unasubir habari jamiiforums ili ubishane , nenda mitandao yote mikubwa kila siku yanaoneshwa mambo mapya , ENDELEA KUMUABUDU SHETANI
 
Mimi natazama habari za ukweli sio wewe unatazama cnn, bbc, na Israel channels au European channels hizo zote ni propoganda tu, kwa tarifa yako Hamasi wako ndani ya Israel wanazipiga huko

Afu wape hongera jeshi la America na Uingereza askari wao 180 wako Jahanamu tokea jana 😄
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.

Na yote hayo yatafumuliwa tu bibi, na wanawahishwa kwa alla wakapate mabikira, ila sasa kwa kina wanawake mnapata nini, au mtagegedwa na wanaume wangapi kila mmoja.
 
Huyu kichaa kila akisikia uwongo wa Israel anauleta hapa, hivi hao mashoga wangegundua hayo ma tunnels siwangeita fox news, cnn, bbc na European media 😄

Ukiona hawakuwaita ujuwe wazi wanacho ongea ni uwongo, wali acting ile movie ya Alshifaa Hospital ilipo kosa soko wakaifuta, hata hizo tunnels sijui wameziona wako usingizini wana ota si bora wakatafute my producers na madirectors kutoka Bollywood wanaweza kutengeneza filim nzuri sana ikapata soko India 😄

Au waligundua yale mafake tunnels walipoingia wakafukiwa humo humo wapo hai 😄

Wewe hujifanya kuchukia ushoga ila unamuabudu shoga, nilikuletea mpaka maandiko yenu kabisa.
 
Kazi inakwenda kwisha, popote Hamas walipojificha Gaza wanasakwa na kusambaratishwa mara moja.
Israel imesema wazi haitaacha chochote kinachowaficha Hamas iwe kisiki, kichuguu, kichaka, kiota, shimo au handaki lolote Gaza kubakia salama, viwe vimefichwa shuleni, hospitalini, msikitini, kanisani, kambini vyote vitagezwa majivu.
 
Na yote hayo yatafumuliwa tu bibi, na wanawahishwa kwa alla wakapate mabikira, ila sasa kwa kina wanawake mnapata nini, au mtagegedwa na wanaume wangapi kila mmoja.
Hahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?

Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.

Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.

Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.

Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?

Unajuwa jana USA kadonyolewa meli zake tatu?
 
Wewe hujifanya kuchukia ushoga ila unamuabudu shoga, nilikuletea mpaka maandiko yenu kabisa.
Mandiko ya kunyonya ulimi 😄 we unauhakika aliye andika hakuwa na akili kama zako? Vipi Mtume wenu Paulo kwanini alikuwa hapendi wanawake? Hivi kuna mwanaume yuko sawa akachukia wanawake? Hauoni kambukiza mpaa mapadri wengi ni mashoga kama yeye

Tazama Yemen anavyo mpelekea zawadi Israel
 
Hahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?

Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.

Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.

Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.

Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?

Unajuwa jana USA kadonyolewa meli za tatu?
Wewe mama unafaa sana kuwa msemaji wa HAMAS, uko vizuri kwa usemaji kama chemical Allii wa enzi za Sadam.
 
Back
Top Bottom