Ndege ya rais wa Malawi yauzwa kulisha maskini!

kajansi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
485
221
Kweli kuna rais wazalendo dunia hii! Hapa Mramba aliwambia watanzania mle nyasi ila lazima ndege ya rais inunuliwe!

Kwa Malawi wameona si busara sasa wameipiga bei ili kuwapa masikini chakula cha uhakika!

Source: Aljazeera
 
sisi tuliambiwa eti itapunguza gharama,hivi JK amefikisha safari ya mia nne na ngapi vile?
 
Kutokuandika kiswahili vizuri, lugha pekee tunayopaswa kuijua ipasavyo na kupuuza vitu vidogovidogo kunaweza kuharibu umakini katika mambo mengine
marawi badala ya Malawi
soruce badala ya source.

Wengine wetu wengi sana hufanya makosa yafuatayo:
oja badala ya hoja
hukweli hadala ya ukweli
sihasa kumaanisha siasa
iyo kumaanisha hiyo
nk
 
Mkuu unaweza kusema uzalendo kumbe hali mbaya ya kiuchumi na malawi uchumi unasumbua sana na na huyu mama anaweka mazingira ili achaguliwe uchaguzi mkuu yani hiyo ndo hali halisi ya malawi nimeishi sana huko nawafahamu vizuri sana
 
Si wote wanaotembelea humu ni waswahili/watanzania; hata banyamulenge wamo
 
Kweli kuna rais wazalendo dunia hii! Hapa Mramba aliwambia watanzania mle nyasi ila lazima ndege ya rais inunuliwe!

Kwa Malawi wameona si busara sasa wameipiga bei ili kuwapa masikini chakula cha uhakika!

Soruce Aljazeera

Tungepata full Cost Benefit Analysis (CBA) ya kuuza ndege ya Rais nadhani tungeelewa zaidi hiki unachozungumza hapa
 
Kutokuandika kiswahili vizuri, lugha pekee tunayopaswa kuijua ipasavyo na kupuuza vitu vidogovidogo kunaweza kuharibu umakini katika mambo mengine
marawi badala ya Malawi
soruce badala ya source.

Wengine wetu wengi sana hufanya makosa yafuatayo:
oja badala ya hoja
hukweli hadala ya ukweli
sihasa kumaanisha siasa
iyo kumaanisha hiyo
nk

Kiwalacho wenziyo, ki nguoni mwako! Je, hapo kwenye maandishi mekundu ndivyo panavyotakiwa kuwa au ndiyo madoido katika kuandika?
 
Mkuu unaweza kusema uzalendo kumbe hali mbaya ya kiuchumi na malawi uchumi unasumbua sana na na huyu mama anaweka mazingira ili achaguliwe uchaguzi mkuu yani hiyo ndo hali halisi ya malawi nimeishi sana huko nawafahamu vizuri sana

Naogopa kumpongeza au kumponda huyu mama lakini sera kama hizi ni dalili za kufilisika kimawazo japo kuuza ndege ni jambo jema.
 
Kutokuandika kiswahili vizuri, lugha pekee tunayopaswa kuijua ipasavyo na kupuuza vitu vidogovidogo kunaweza kuharibu umakini katika mambo mengine
marawi badala ya Malawi
soruce badala ya source.

Wengine wetu wengi sana hufanya makosa yafuatayo:
oja badala ya hoja
hukweli hadala ya ukweli
sihasa kumaanisha siasa
iyo kumaanisha hiyo
nk

  • :frog:
 
Unajua huyu mama asisifiwe bure bana hizo ni takitiksi zake binafsi katika kuendesha nchi yake lkn sio kuwa yuko sahihi,..sasa unataka na ya Rais wetu iuzwe ndio ujue kama naye ni kiongozi mzuri? anaweza kweli kuiuza ndege yake lkn nchi yenyewe akawa kashawakabidhi wakoloni wa sasa,na ndege yenyewe isitusaidie .kwanini humusifii kikwete alivyogawa mamilioni kwa ajili ya kutatua sula la ajira kwa vijana zile ziliishia mikononi mwa viongozi wahuni,,sasa hapo kikwete si alitakiwa kusifiwa jamani ehe!! au ili asifiwe lazima ndege ile iuzwee,,,Malawi kuuza ndege ni njaa tu,hakuna kingine hasifiwi mtu hapa sasa.ila kwakuwa umetoa taarifa tunakusifia tumeweza kulijua hilo na sie wengine.asante kwa taarifa mtoa mada.
 
Kutokuandika kiswahili vizuri, lugha pekee tunayopaswa kuijua ipasavyo na kupuuza vitu vidogovidogo kunaweza kuharibu umakini katika mambo mengine
marawi badala ya Malawi
soruce badala ya source.

Wengine wetu wengi sana hufanya makosa yafuatayo:
oja badala ya hoja
hukweli hadala ya ukweli
sihasa kumaanisha siasa
iyo kumaanisha hiyo
nk
Kutokuandika kiswahili vizuri, lugha pekee tunayopaswa kuijua ipasavyo na kupuuza vitu vidogovidogo kunaweza kuharibu umakini katika mambo mengine
marawi badala ya Malawi
soruce badala ya source.

Wengine wetu wengi sana hufanya makosa yafuatayo:
oja badala ya hoja
hukweli hadala ya ukweli
sihasa kumaanisha siasa
iyo kumaanisha hiyo
nk
 
tuinunue cz tunampango wa kununua ndege mbili tudake na hyo fasta itakuwa bei chee fanya mchezo na njaa ww
 
Kutokuandika kiswahili vizuri, lugha pekee tunayopaswa kuijua ipasavyo na kupuuza vitu vidogovidogo kunaweza kuharibu umakini katika mambo mengine
marawi badala ya Malawi
soruce badala ya source.

Wengine wetu wengi sana hufanya makosa yafuatayo:
oja badala ya hoja
hukweli hadala ya ukweli
sihasa kumaanisha siasa
iyo kumaanisha hiyo
nk

Kiache kichwa chako kijivinjari; hapa swala ni hoja sio fasihi au grammar, jadili hoja iliyopo mezani sio kusahihisha mitihani kama mwalimu wa UPE! Bs
 
Ah ah ah....walimu wa kiswahili wapo sanaa.....

Hv ndege iluzwa au maana nasikia rais wa sasa nae katangaza njaa huko kwao......
 
Back
Top Bottom