ndege ya Precision yapata ajali Kigoma.

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Kwa mujibu wa habari zilizofika punde chumba cha habari TBC1, ndege hiyo imepasuka matairi matatu, mawili kulia, nyuma na moja kushoto, nyuma wakati inatua ikitokea Mwanza.
 
Ndege tena Kigoma tena? Juzi ndege imepasuka kioo hapo nyuma ilianguka Kigoma na nyuma zaidi ilianguka Mwanza. Mungu bado anaendelea kuwapenda Watanzania. Tumshukuru Mungu kwa hilo.
 
KIUKWELI USAFIRI WA NDEGE ZA TANZANIA MUNGU tu ndio anatusaidia kufika salama..usalama ni mdogo sana ipo siku Mungu aepushe mbali zitaanza kuleta shida kama hizo meli za hapo Zanzibar...
 
Hao PRECISION nao wameanza kujisahau sidhani kama wana regular safety check ya ndege zao ipo siku watatumwaga pamoja na kutucharge nauli kubwa/delay na route ndeeefu (mfano unaenda ENTEBBE from DAR utazungushwa karibu miji yoote ya Afrika Mashariki kabla ya kufika ENTEBBE) PLEASE ZINGATIENI USALAMa au mnavimba kichwa kwa sababu mpo peke yenu au mnafikri hatujui mnazifanyia hujuma FLY 540 na AIR TANZANIA? ili mpate biashara na mpandishe bei mnavyotaka, hivi kuna Bodi/taasisi inayoregulate bei ya nauli za Ndege TZ/EA?
 
Nasikia Lukuvi ameamrisha ikimbiziwe mahakamani ili kutuziba midomo isiongelewe nje ya mahakama!
 
Jk akishindwa kupageuza Dubai atasema jamani si mnaona Kigoma panavyopatisha ndege ajali? Maana ilianza ya ATCL na sasa Precision bado za serikali.
 
Ni moja ni makampuni hovyo tz. Ratiba hawafuati kabisa hawa jamaa na inaonekana hata service hawafanyi
 
Taifa limeshindwa kuwa na ndege yake ya uhakika ila mtu binafsi ameweza halafu wanafiki wakataa mabadiliko yasitokee? we need a new leader with relevant vision and mission for this country
 
Haya mambo haya ya kutumia mitumba?? meli zipo zinazama na kuua wananchi kila baada ya miezi kadhaa. Sasa naona taratibu, but surely, tunahamia kwenye usafiri wa anga
 
Back
Top Bottom