Eyes_blogger
Senior Member
- Nov 30, 2016
- 115
- 81
Huoni alivyo mbaya nadhani hana watoto walio soma hadi universitySIMPENDI HUYU MAMA YANIII
Huoni alivyo mbaya nadhani hana watoto walio soma hadi universitySIMPENDI HUYU MAMA YANIII
AmenMaumivu makubwa sana kwa vijana wa Kitanzania wanaotoka familia masikini na ambao wamesoma kwa mateso makubwa.So sad, lakini yana mwisho.......
Ana hasira alisahau alipo fukuza wale wa udom alisahau kuna mwanae kilaza alikuwepo kule sasa anahasira watoto wake vilaza halafu awaajiri nyinyi wa bachela hahaOk,nini hatima ya wahtimu hao?watafutiwa kazi ya kufanya coz nat fear walimu wa intake moja yaani 2015 wengine waajiriwe na wengine watoswe,na why wanazid kudahili walimu mavyuoni ,mmh lkn ni kiburi chetu mpiga pushapu atakuwaje rais?ndo tujifunze 2020alafu anajifanya yupo kimya ili watu wampende kumbe yeye ndo anatoa tamko,na hayo mandege nayo anabana matumizi au ,nina zao,
We jamaa unakera uwezi kujibu hadi ufanye quotation ambayo pia umeandika pumba tuTunabana matumizi!
Swala ni kwamba kwa miaka 2 yote serikali ilikuwa inahamasisha walimu wa masomo yote wasome, kwa hiyo watu na watoto wao wakajinyima na wengine wakaingia madeni makubwa. Leo unapokuja kuwakataa sasa waende wapi.Penye ukweli tuseme ukweli.
Waalim waasomo ya sanaa wapo wengi tatizo ni mgawanyo. Mijini wamejazana kinoma.
Wakurugenzi na maafisa elimu wabanwe kutoa orodha ya wale ambao ni ziada,(watoe idadi) ili redistribution ifanyike.
Na halmashauri za vijijini wajenge mazingira ya watu hawa kuishi na kuvutika kuishi huko.. Sio unakuta mazingira yanayokufanya uanze kusaka drs wakuandikie barua ya magonjwa ili uhame.
Kama serikali haina uwezo wa kuwalipa tunalazimisha waajiliwe ili wakikosa stahili zao tuanze lulalamika tena?
Hata majumbani kwetu tunatani kuwa na watenda kazi wengi ila uwezo wa kuwalipa ndio limiting factor.
Serikali ilimfuata nani nyumbani kwao ikamshawishi asome Ualimu!?Kwa nini serikali iliwasomesha hao walimu wa masomo yasiyo ya sayansi kama walijua haiwahitaji?Ndo kusema hata lugha haitafundishwa tena mashuleni?Na mikopo waliyopewa hawa walionyimwa ajira watalipaje?au watasamehewa?kama hawatasamehewa serikali iongeze magereza kwa sababu zilizopo hazitawatosha.
Tena jamaa watadaiwa mkopo baada ya miaka kadha wataambiwa wadaiwa suguKwa nini serikali iliwasomesha hao walimu wa masomo yasiyo ya sayansi kama walijua haiwahitaji?Ndo kusema hata lugha haitafundishwa tena mashuleni?Na mikopo waliyopewa hawa walionyimwa ajira watalipaje?au watasamehewa?kama hawatasamehewa serikali iongeze magereza kwa sababu zilizopo hazitawatosha.
Wizara ya elimu kuna tatizo.Unahamasisha watu,unawapa mikopo kuwa kozi hii kipaumbele unafika mbele unageuka.Nchi hakuna mipango endelevu ya elimu?fikra zangu ni kuwa waliwekwa kwenye mpango wa maendeleo wa elimu ambao unahusu utatuzi wa kuanzia changamoto za elimu kuanzia majengo,vifaa na upungufu wa walimu.Hivi kulikoni mpango unakatikia hewani? Wataalamu wa mipango ya elimu toeni jibu mlihamasisha watu wasomee digrii za ualimu ili iweje? Kuwapotezea watoto muda au mnataka kuichonganisha Serikali ya CCM na wananchi? Mnaihujumu kupitia utaalamu wenu ichukiwe?Swala ni kwamba kwa miaka 2 yote serikali ilikuwa inahamasisha walimu wa masomo yote wasome, kwa hiyo watu na watoto wao wakajinyima na wengine wakaingia madeni makubwa. Leo unapokuja kuwakataa sasa waende wapi.
Muda, pesa, na matumaini yanapotea sasa nani wa kuwalipa?
Kwann serikali ilikosa timeflame ya kusema lbd kuanzia mwaka ni mwaka ni hawatatakiwa ili watu wajiandae au musoma kozi nyingine kama kilimo ?
Hizo takwimu nenda pale wizarani akupatie ..yeye sio mjinga kama wewe kusema bila kufanya utafiti...
Inawezekana aliyekuwa kapanga yote hayo kashaondoka,huyu ni mwingine anampango wa kuzalisha mainjinia na kada nyingine,kwa hiyo tuumieni taratibu wakati huo akili zetu tukizifungua 2020 tujue nn cha kufanya awamu ijayo ili tuwasaidie wadogo zetuNa ndiko ilitakiwa tuelekee.WENGI WA walimu wa shule za msingi za kenya na uganda wa shule za msingi wana digrii.Ilitakiwa tusogee mbele shule za msingi zianze kuwa na walimu wenye digrii.Nchi za ulaya na marekani huwezi fundisha shule ya msingi bila digrii.Kama nchi inatakiwa twende huko tulingane na kenya ,uganda na nchi zinginezo.Vyuo vyetu vilikuwa vimejipanga vizuri sana kwenye huo mwelekeo kwa kuanza kutoa digrii za ualimu za shule za msingi ( Bachelor of education in primary education) NA digrii za ualimu wa chekechea (Bachelor of education in early childhood education).Kwa mwelekeo tuliokuwa nao ni kuwa walimu wa degree za ualimu za arts wanatakiwa kuanza kuelekea kwenye elimu yetu ya msingi kama wamejaa sekondary.Ili tuanze kuondoa taratibu walimu wa certificate na diploma shule za msingi na ku-replace walimu wa degree tulingane na nchi za wenzetu
acha hizo wewe mtu anayesoma education unategemea ualimu wake autafutie ajira wapi??sokoni kuuza nyanya au ??..watafute Ajira,..
Waseme pesa zimeenda kununulia Baiskeli kwahiyo hawawezi kuajiri kwani mfuko ni mweupe sio sarakasi zinakuwa nyingi.Habari kwenu wakuu, hii ndiyo hali halisi kwa walimu wa sanaa.
View attachment 446822 View attachment 446824