Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakataa kuyatambua majimbo ya Ukraine yaliyochukuliwa na Urusi

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina.

Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5 tu ndizo zimeungana na putin. Africa hakuna aliyemuunga.
CNN

=====

Strong majority of countries rebukes Russia at UN

Nahal Toosi and Ryan Heath
Thu, October 13, 2022, 12:40 AM·3 min read

1665620925527.png

caef4b0bb7d97899262c105e272b44d6

Bebeto Matthews/AP Photo

An overwhelming majority of countries castigated Russia on Wednesday over its claims to have annexed Ukrainian territory, with 143 voting in favor of a critical U.N. resolution after heavy lobbying by the U.S., Britain and the European Union.

Five countries voted against the resolution — Russia, and four other dictatorships: North Korea, Syria, Belarus and Nicaragua.

It was a stronger showing than many Western officials had predicted ahead of the vote. The ballot followed one of Russia’s biggest attacks on Ukraine since its invasion in February, with missile strikes in more than 20 Ukrainian cities, including Kyiv, the capital.
 
Hayo maamuzi ni non binding......ukitaka kuitambua utaitambua usipotaka huitambui na hawalazimishi nchi kutambua wala kutotambua hayo maeneo.....ni kama kura za maoni tu.

Mrusi alitaka kura za siri maana anajua mataifa mengi yangepiga kura kuwafurahisha wamagharibi ili nchi zao zisije kupata shida, Un wakachomoa.

Screenshot_20221013-075703_RT News.jpg
 
Wakati USA inaivamia Iraq UN iliruhusu?

Wakati USA anaichukua Guantanamo bay ya Cuba UN iliruhusu?

Wakati Russia inaichukua Cremia 2014 UN iliruhusu?

Jibu la hayo maswali yote ni "HAPANA"

SASA KIPI KINAKUFANYA UFIKRI HIZO POROJO ZA UN ZITABADILISHA MAAMUZI YA URUSI NA RAIA WALIO AMUA WAO KUJITENGA NA UTAWALA WA KINAZI.

UN ipo kwajili ya kuendesha Nchi masikini na zilizo kaa kinyonge tu, Hao kina USA na Russia wapo kwenye ulimwengu wao wala hawaendeshwi na UN.
 
Siyo kwa wakat huu
 
Kwahiyo, ni nchi tano pekee ikiwemo Urusi yenyewe ndizo zilizounga mkono ukwapuaji wa maeneo ya Ukraine?!

Na, ukichunguza kwa makini hizo nchi zenyewe hususani viongozi wake unauona mfanano wa tabia kwa kiasi kikubwa.

Kuna kamsemo maarufu sana ka kiingereza huwa kanasema; "show me your friends and I'll tell you who you are."
 
Na inakuwaje hawa raia waliopo Jamii forum wanamtetea mrusi , mwakilishi wa nchi yao kule UN ameshindwa kuwakilisha matarajio yao ?
 
Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina.

Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5 tu ndizo zimeungana na putin. Africa hakuna aliyemuunga.
CNN

=====

Strong majority of countries rebukes Russia at UN

Nahal Toosi and Ryan Heath
Thu, October 13, 2022, 12:40 AM·3 min read

View attachment 2385386
caef4b0bb7d97899262c105e272b44d6

Bebeto Matthews/AP Photo

An overwhelming majority of countries castigated Russia on Wednesday over its claims to have annexed Ukrainian territory, with 143 voting in favor of a critical U.N. resolution after heavy lobbying by the U.S., Britain and the European Union.

Five countries voted against the resolution — Russia, and four other dictatorships: North Korea, Syria, Belarus and Nicaragua.

It was a stronger showing than many Western officials had predicted ahead of the vote. The ballot followed one of Russia’s biggest attacks on Ukraine since its invasion in February, with missile strikes in more than 20 Ukrainian cities, including Kyiv, the capital.
Mbona hawayakatai maeneo yaliyochukuliwa na Rain bow namba Moja Israel?
 
Hayo maamuzi ni non binding......ukitaka kuitambua utaitambua usipotaka huitambui na hawalazimishi nchi kutambua wala kutotambua hayo maeneo.....ni kama kura za maoni tu.

Mrusi alitaka kura za siri maana anajua mataifa mengi yangepiga kura kuwafurahisha wamagharibi ili nchi zao zisije kupata shida, Un wakachomoa.

View attachment 2385472
Hao UN ni wangese sana,,,,
 
Hizo nchi tano zenyewe ni Shitholes haswa
Kwahiyo, ni nchi tano pekee ikiwemo Urusi yenyewe ndizo zilizounga mkono ukwapuaji wa maeneo ya Ukraine?!

Na, ukichunguza kwa makini hizo nchi zenyewe hususani viongozi wake unauona mfanano wa tabia kwa kiasi kikubwa.

Kuna kamsemo maarufu sana ka kiingereza huwa kanasema; "show me your friends and I'll tell you who you are."
 
Saddam walimuonea Dunia nzima tena kwa vitendo
Nchi hizi zilizopiga kura ndizo zilizompiga Saddam kwa kosa hili hili ila Mbabe wameamua kubweka kama mbwa tu mara ooh tunapinga uvamizi mara tunatuma silaha
Ziko wapi Bomber 52 na Stealth zao ?
Wakazitumia sasa kumuadabisha Putin

Ila wote ni washabiki na kila mtu anaangalia upande anaoona sawa
Ila unafiki tuuweke pembeni Mrusi ni Mbabe na hawawezi kumpiga zaidi ya kuuaminisha umma kuwa tunatuma silaha kwa ukraine maongo haya

Yanavyopenda sifa mngeonyeshwa zikipakiwa na kushushwa kila siku
 
Na inakuwaje hawa raia waliopo Jamii forum wanamtetea mrusi , mwakilishi wa nchi yao kule UN ameshindwa kuwakilisha matarajio yao ?
Nashangaa!

Wameshindwaje hata kufanya lobbying kwa mwakilishi wao kuongeza angalau kura moja kwa huyo Mrusi wanayemshabikia humu?!
 
Back
Top Bottom