Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Hiyo list iko kwenye mitandao karibu mwaka wa tatu na imeanzishwa naWakenya alafu wakajipachika wao katika hiyo list.Kiukweli wanawake wa Kenya wamechachuka utafikiri wamekula ndimu
 
bora wangechubua tu.matumbo makubwa kama mabomu.manyonyo yana ovateki kitovu
Pole mkuu kwa kuishi kwenye mkoa wenye wanawake walevi waota vitambi.Ndio dada zako wa mkoani kwako inabidi tu ukubali lakini usigeneralize,mabinti wa TZ ni wakali huwezi kufananisha na makopo ya Kenya au Nigeria
 
Yaani Kenya, ivory coast, Nigeria na Ghana hakuna kitu kabisa. Huko kwa Ethiopia, Eritrea, Somalia na Rwanda hatuna ujanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom