Nchi inatikiwa kufanywa leadership transfusion

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,057
1,371
kama chanzo cha minunguniko ya nchi inaelekezwa dhidi ya wabunge walio chaguliwa kwa ridhaa za wananchi wenyewe. Yaani kama bunge ni kioo cha ufisadi nchini. Basi nchi inahitaji kufanyiwa leadership transfusion. Maana gonjwa tunalo umwa ni hatari kwa amani na utulivu wa nchi.

inanikumbusaha fasihi ya kitabu cha animal farm, ambacho kilipigwa marufuku katika baadhi ya nchi.
 
Back
Top Bottom