Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,482
- 40,001
Mambo yanayoendelea yananifanya niulize kama mkuu wetu ana nia ya kuongoza taifa au ndio keshaamua kuwa kwa vile hagombei mwakani basi anatuacha tushuhudie mazingaombwe haya. Au anajiandaa kutafuta wawekezaji waje kusaidia CCM?