stringerbell
Member
- Feb 19, 2010
- 86
- 0
Nchi yetu kama kawaida hatuma katika mashindano ya world cup.jee ni nchi gani utaishangilia katika world cup.
mimi nitaisapoti south africa all the way .zikifuatiwa na nchi za kiafrika zote.
mimi nitaisapoti south africa all the way .zikifuatiwa na nchi za kiafrika zote.