kasome historia vizuri, nchi nyingi tuziliteseka miaka nenda miaka rudi, lakini muda uliotumika kufikia mafanikio ni mfupi sana. Madam, Majizi kama akina Lowassa yametumbuliwa, kuna kitu kinaweza kufanyika.Hayo mafanikio yamefeli kwa miaka 55 yaje onekana leo
Kama kweli umeamua kufanya maamuzi magumu, basi achana na imani za kimungu maana ni kuwalamba miguu pia. Nafurahi kuona mnaanza kufungukaUmetoa wapi hii taarifa? Tuko tayari kula nyasi , kuwalamba miguu wazungu sasa basi
Umeweka uzi wako kibavicha zaidi, weka hizo nchi hapa na kiasi!
Pia tuwekee source, reliable source!
Pamoja na hilo lako...tukubali nusu shari kuliko full shari.naona tutapata shida hata hiyo elimu bure itakwama....by the way kwani kuna ulazima gani wa ZNZ miaka hii ya 2016....watatuponza saana.Membe na JK walitupiga bei kwa Wazungu.. huitaji kuwa na PhD kuling'amua hilo.
Tatizo letu waTz hasa viongozi waliopita ni wajinga sana!
Hata kama kweli sioni tatizo mietoa ushahidi wa haya uliyoyaandika!
Sasa hapo unauliza swali auKwa hiyo viongozi hawa wa sasa ni wapya kabisa, sio recycled kabisa, ni brand new batch ya watu wenye busara, weledi na maono...
Tanzania tutegemee kuingia kwenye shida ya kiuchumi. Wale washirika wetu wa maendeleo yaan zile nchi za ulaya. Kwa kauli ya pamoja wamesitisha misaada katika nchi yetu.
Tukumbuke misaada yao inaingia moja kwa moja kwenye bajet!! Wanaojua hatujitoshelezi. Kimaneno tunajitosheleza kwa 60% kivitendo hatuzid 40%.Ni zaid ya ile MCC. Maamuzi hayo yamekubaliwa na nchi 10 kati ya 14 za Umoja wa ulaya.
Swali kwa watawala hata hizo milijua hamtapewa mlijiandaa kujitegemea??
Maana ya MCC nilimsikia msemaji wa wizara ya fedha anasema waljua haztakuja hawakuziweka kwenye bajet.
Je na za washirika wa maendeleo hamkuziweka???
Wananchi mnatwambia tufunge mikanda suruali zetu zinavyotupwaya wakati nyie mnashindwa Hata kufunga vifungo vya makot kwa vitambi.
Tena ving'ang'anizi kwelikweli wa hayo maigizo. Wakiona hawana hoja za kupinga kutetea maigizo yao wataanza kuvuruga mada kwa kushambulia TYIPING MISTAKE. hapa watatoa mapovu ukiwafuata kwa kujibu hoja zao tayari wamevuruga mada. Hii ndio mbinu yao hasa huyu na FoxMmeshazoea maigizo mnashindwa kufikiri nje ya box
Akili za bavicha ni kwamba viongozi wapya ni kina mbowe!Kwa hiyo viongozi hawa wa sasa ni wapya kabisa, sio recycled kabisa, ni brand new batch ya watu wenye busara, weledi na maono...
Hujui ulisemalo, akina Mtei, Seif, Lowassa na wapuuzi wengine walikuwa huko huko, nini cha maana walichokuja nacho huko?
Bavicha ktk ubora wako. Pumba!!Tena ving'ang'anizi kwelikweli wa hayo maigizo. Wakiona hawana hoja za kupinga kutetea maigizo yao wataanza kuvuruga mada kwa kushambulia TYIPING MISTAKE. hapa watatoa mapovu ukiwafuata kwa kujibu hoja zao tayari wamevuruga mada. Hii ndio mbinu yao hasa huyu na Fox
KWELI WEWE NI MWANAPROPAGANDAHivi kuwasaidia wananchi wa vijijini kupata miundombinu ya umeme kuna uhusiano upi na uchaguzi wa zanzibar au cyber crime law? Masharti yao ni ya kipuuzi na yamekaa kikoloni na si kiutu.