Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
kubwabwaja kutaisha sasa bunge sio sehemu ya kijiweni,chadema wakiambiwa wanatafuta umaarufu binafsi wanakataa! sasa Mnyika kakosa ushahidi mnyika ni mjinga mdhaifu!
Ni jambo ambalo nina uhakika nalo kwanini niliache linyamaziwe kimya. Tuhuma nzito kama hiyo nikiinyamazia nitakuwa wa ajabu sana wakati imetokea nikiwa sio mwajiriwa BOT. KAMA KUNA ZILIZO ACHWA NI HIZO NA SIO MWENDELEZO. KAMA ALITELEZA ASEME KAMA NI UELEWA ASEME LAKINI MIMI NA EPA TUKO MBALI KAMA MBINGU NA NCHI.
kubwabwaja kutaisha sasa bunge sio sehemu ya kijiweni,chadema wakiambiwa wanatafuta umaarufu binafsi wanakataa! sasa Mnyika kakosa ushahidi mnyika ni mjinga mdhaifu!
"mnyika alidai kuwa mh nchemba alihusika na EPA. mnyika ameleta ushahidi ambao ni maelezo mafupi. suala hili nalipeleka kwenye kamati ya maadili ya bunge, watapitia ushahidi wa mnyika kisha wote wataitwa kuhojiwa na kamati. matokeo ya kamati tutafahamishwa" alisema ndugai
Nilikuwa na muheshimu sana Ndugai lakini kumbe na yeye ni dhaifu
1. kanuniya 5 (1) ambayo inasema kuwa katikakutekeleza majukumu yake yaliyotajwa katika ibara ya ya 84 ya katiba , spikaataongozwa na kanuni hizi .
2. kanuniya 63 (2) mbunge yeyote anapokuwa akisema bungeni hatachukuliwa kuwa anasemauongo iwapo anafanya rejea ya habari kuhusu jambo fulani lililotangazwa aulililoandikwa na vyombo vya habari
3. kanuniya adhabu : Hii ni kanuni ya 73 (3) endapo mbunge yeyote atatakiwakuthibitisha ukweli wa jambo au suala alilolisema bungeni na hadi kufikiamwisho wa muda aliopewa amekataa au ameshindwa kutoa uthibitisho huo,spikaanaweza kumsimamisha mbunge huyo kuhudhuria vikao vya bunge visivyozidi vitano
4. kanuniya kupelekwa kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge ni 74(1) spikaanaweza kutaja jina la mbunge kwamba amedharau mamlaka ya spika na kasha kupelekajina hilo kwenye kamati ya haki,maadili na madaraka ya bunge ..
tumia akil yko vizuri unapoandika. mtu kusema uongo bungeni, kama ni muadilifu anafaa kujiuzulu. pale hatupeleki watoto ambao hata hawajui familia inaendeshwa vipi. kupayuka na kubwabwaja si mahala pake bungeni. ataendelea kuwa mbunge lkn wanaomuamin watapungua! hadhi yake itashuka. vile na wewe bado unalishwa hujui majukumu ni nini huwezi kuelewa maana ya hadhi katika jamii.
Mbona mengine wanayo tuhumiwa hawakazanii ushahidi?
Huyu Mchemba ni misifa sana.
Aishie huko hawezi kushindana na Jembe Mnyika katika hoja
Inaelekea anautafuta ule uchochoro aliopita Lema.Mnyika kwish kaz,ndo maana sasa hv yupo kmya sana,MDOMO WAKE UMEMPONZA
Tatizo lako Ndg upeo wako wa kufikiri ni mfupi sana unatakiwa ufikirie kwa mapana majibu na maswali yanayotakiwa kuulizwa na kujibiwa katika swala zima la wizi wa fedha za EPA, kwanza mi nafikiri we ni Mzenji ndo maana mambo yetu ya Bara(Tanganyika yanakuchanganya)Sishangai ksbb nimeshawahi kuona pia mfano katika maswali ya True/False swali linalohitaji jibu la True mtu akaandika False.....ndo upeo wake ulipoishia,sasa afanyeje...ndo sawasawa na wewe.
Inaweza kuwa ngumu kwa Mnyika kuthibitisha uhusika wa Nchemba lakini sitategemea kuona Ushahidi ukisomwa mbele ya wabunge. Haya yanawezekana;
a) Kwa kutoridhisha kuwa Nchemba amehusika, Mnyika atakuwa amesema uongo na atakuwa suspended. Hatakiwi mjengoni!
b) Jambo hili kuachwa bila adhabu yoyote kwa Mnyika lakini ikasemwa kuwa ushahidi ni dhaifu. Hofu itakuja kwa wabunge wa Chadema kudai maelezo ya Lema na Zitto yatolewe na adhabu kwa wahusika itolewe kwa kipimo sawa na atachopewa Mnyika.
Kwa mbali naona jambo hili litapita tu kama yalivopita EPA, Richmond, Dowans na washirika wake!! Kumbukeni EPA ni moja ya sehemu ambapo CCM hataki kurudi! Na namna ya kutorudi ni kumaliza mambo kimya kimya. Naichukulia hii kama "case closed". Nitashangaa nikisikia hata hiyo taarifa ya Kamati ya Nidhamu, achilia mbali adhabu kwa Mnyika.
Hoja ya Nchemba pia haina mashiko maana si kila waliohusika na EPA walikuwa wafanyakazi wa BoT, akina Rajabu Marandu hawajawahi hata kufanya kazi benki yoyote, na wala si lazima kuwa TZ ili uhusike na EPA maana wengine walikuwa India na Pakistani na wakahusika na EPA. Kwani Nchemba hajui kuwa vikao vya ndani ya chama chake ndo viliazimia kuzi-EPA pesa za watanzania? Nchemba kama mwana CCM anahusika maana bila hivyo wasingemwingiza katika nafasi hiyo nyeti ndani ya CCM ili awalinde wahusika zaidi wa EPA na huku ni kuhusika kukali zaidi