NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Hao Cavs heri washinde tu leo, maana wakifungwa King James atakuwa na mda mgumu sana. Akiondoka anaoneka kakimbia akibaki mwakani wanapewa kichapo tena.
 
Hao Cavs heri washinde tu leo, maana wakifungwa King James atakuwa na mda mgumu sana. Akiondoka anaoneka kakimbia akibaki mwakani wanapewa kichapo tena.

...Leo ngoma Boston itakua kali maana Celtics hawataki kurudi Cleveland and want to get this thing done.
But you never know wanaeza wakaja 'flat footed' kisha kue na safari ya kurudi Cleveland tena.

Tusubiri saa mbili usiku Eastern time.
 
Can you call tonight's game?
 
Celtics all the way!!! Rojon Rondo is now proving his worth and he's on his way to becoming the best point guard in the NBA.
 
1273792304.jpg
Lebron picks up 2 quick fouls in the 1st quarter.

First quarter inaisha Boston wakiwa juu 25 -22.
 
Sijakata tamaa mkuu...naona Boston tumeamka....Ushindi unanukia...tusubiri 4th Quarter....wazee wazima wamalizie...
 
Back
Top Bottom