NBA Finals..L.A.Lakers Versus Orlando Magic.

  • <LI class=firstli>Kobe Bryant
  • #24
  • Guard
act_kobe_bryant.jpg
 
- Ili washinde hili kombe na ubingwa, Magic wanatakiwa washinde mara nne kati ya tano zilizobaki, eti hiyo inawezekana kweli?

I do not think so, Kobe has done it again four rings sasa, angalau anaweza kuingia meza moja na kina MJ, kwa maoni yangu he is the best katika NBA sasa hivi!

Respect.

FMEs!
 
Watu wamem-critisize sana KOBE kuwa yeye sio kitu bila SHAQ lakini mwaka huu atadhibitisha yeye ni MKALI,kwa sasa SHAQ hawezi kuingia fainali bila kucheza na KOBE
 
Siku zimebakia chache sana naona kijana Quemu kaniingia mitini simuoni tena,Kulikoni?.Au ndiyo working hadi double shift kuweza kunilipa bet yangu?.Maana hi ni fwakti kuwa Lakers all the way ni heka heka tuu.
 
- Vipi leo? Naona kama Lakers tayari wameshinda hawa Magic kumbe ni wadosi yaani watupu hawana lolote, heshima kwa Kobe kwa kweli kijana anastahili heshima kubwa sana na ni mfano wa kuigwa kwamba work hard na nidhamu mbele pamoja na uvumilivu, utafanikiwa tu maana bado Mungu ni yule yule wa mababu zetu.

- Lakers 3 Magic 0!

- Lakers 3 Mgic 0!

Respect.

FMEs!

Hii ita muaibisha sana Lebron James. Timu iliyo msumbua ina aibishwa na Kobe & Co. Nadhani kwa sasa hamna haja ya debate nani ni mkali kati ya KB na LJ.
 
Hii ita muaibisha sana Lebron James. Timu iliyo msumbua ina aibishwa na Kobe & Co. Nadhani kwa sasa hamna haja ya debate nani ni mkali kati ya KB na LJ.

Mazee itamuaibishaje LJ? Sielewi kivipi..kwani Orlando iliifunga Cavs au LJ mazee?

BTW, G3 LAL hawawezi kufurukuta lazima wachomwe japo kimoja kwenye series. Natabiria Orlando watatwin next 3 Games japo LAL watachukua championship in 7 games...
 
First quarter imeisha Lakers wako juu 31 - 27.

Kobe ni mkali kinoma...17pts 1st Quarter!!!
 
Hii gemu Orlando wataitupa wenyewe through unneccessary
turnovers.
 
hizi dakika 2 inabidi wale ma3 shooter wafanye mambo otherwise kobe anag'ara tena leo...
 
Back
Top Bottom