Nazikumbuka Tukuyu star na MECCO za Mbeya

very serious any way huenda isiwe kwa sasa lakn nimemshihidia wakati fulani hata Rashid Mandanje anashona Viatu pale Masasi stendi
Aiss...anyway mpira wa zamani ulikuwa wa ushindani lakini wa ridhaa zaidi...na wachezeji walitosheka na sifa tu...
 
Hivi zaidi ya mkoa wa Mara ni upi tena haujawahi kuwa na timu kwenye ligi kuu....
 
Tukuyu wamepanda daraja njiani ilikuwa hivi kituo Chao cha ligi kilikuwa shinyanga mechi ya mwisho ni biashara shinyanga na africana ya newala ambayo ilikuwa ya mwisho kundini na ilipoteza mechi zote kabla ya kukutana na biashara na ilikuwa biashara anatakiwa ashinde ndio apande daraja.
Biashara walikuwa wapo vizuri so kwa hali yoyote africana ya newala ingefungwa na pia ukichukulia biashara wapo home ground(kambarage)Tukuyu baada ya kuliona hilo wakajitia ndani ya lori lao wakaondoka huku nyuma kituko kikaja viongozi wa africana wakawafuata biashara na kuwaambia wafanye mazungumzo wawaachie game viongozi wa biashara wakawatoa baruti ninyi mmefungwa game zote hapa hakuna maongezi game ipigwe.
Africana hawakuwa na cha kupoteza na wakawa na hasira kwa dharau ya viongozi wa biashara walitulia na kupiga mpira game inaisha africana mbili biashara moja saa mbili kasoro radio tanzania ile ntintintinti ntintitniiii ntintintintii tuyuku stars yapanda daraja nakikumbuka kisa hichoooo.
 
Back
Top Bottom