Nayaona maisha mapya bila ruzuku wala kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,186
16,193
Yaani alizoea hata asipokwenda kituo cha kazi ruzuku inaingia chamani a/c ya ofisi yake inatuna ni yeye na kwenda Asia na Dubai,S.A kula bata lakini kwa hili lililotokea naona kila kitu kimefutika tunarudi kutegemea mission town daah siasa mchezo hatari sana hasa ukipambana na wazee wa strategic wacha tuone maisha bila STK yatakuweje!
 
After two years ya ukame, anasajiliwa kwa donge nono kwa mpinzani wake anaungana na wale aliowaita wasaliti, chama kinajifia kama cha yule mzee TLP, Demokrasia ya chama inabaki jina na viraka.
 
Yaani alizoea hata asipokwenda kituo cha kazi ruzuku inaingia chamani a/c ya ofisi yake inatuna ni yeye na kwenda Asia na Dubai,S.A kula bata lakini kwa hili lililotokea naona kila kitu kimefutika tunarudi kutegemea mission town daah siasa mchezo hatari sana hasa ukipambana na wazee wa strategic wacha tuone maisha bila STK yatakuweje!

Unadhani Mbowe ni kapuku kama mlivyo kwenu?. The guy comes from rich family.
 
Yaani alizoea hata asipokwenda kituo cha kazi ruzuku inaingia chamani a/c ya ofisi yake inatuna ni yeye na kwenda Asia na Dubai,S.A kula bata lakini kwa hili lililotokea naona kila kitu kimefutika tunarudi kutegemea mission town daah siasa mchezo hatari sana hasa ukipambana na wazee wa strategic wacha tuone maisha bila STK yatakuweje!
Ruzuku inatoka chama kikiwa na mbunge kuanzia mmoja wa kuchaguliwa.
 
Chadema angalieni tu kwa utamu wa ruzuku msijeuza assets za Chama.

Kama kungekuwa na uwezekano wa chama kuwa chini ya uangalizi wa mtu mwingine kwa muda nashauri hivyo maana nawasiwasi magari ya chama yanaweza pigwa mnada.
 
Kitu nachojua mbowe ana hela kushinda ukoo wote wa magufuli. Kabla hata hajawa mbunge ukoo wa mbowe ulikua una hela chafuu.
 
Yaani alizoea hata asipokwenda kituo cha kazi ruzuku inaingia chamani a/c ya ofisi yake inatuna ni yeye na kwenda Asia na Dubai,S.A kula bata lakini kwa hili lililotokea naona kila kitu kimefutika tunarudi kutegemea mission town daah siasa mchezo hatari sana hasa ukipambana na wazee wa strategic wacha tuone maisha bila STK yatakuweje!
Ukiona mtu anashangilia matokea ya uchaguzi uliopita ujue zuzu.
 
Back
Top Bottom