Naweza kabisa kuituliza Zanzibar

Ni sehemu ya nchi yetu eti, ni kuwatandika fimbo tu watulie sio kupunguza sehemu yetu.
 
Wacha uongo, ucwapotoshe wenzio wewe, wote hao ni watanganyika wanakimbia kwa kuogopa kunyongwa na wazanzibari waislam.
 
Mkuu, yaani tuwazuie kwa sababu hiyo TU?
- "kabla ya kuwazuia" naomba kuuliza, vipi kwa wale ambao wameoa na kuolewa huku Tanzania bara?..tuwarudishe?..wakihitaji kuchukua familia zao(watapewa vibali maalum?..wasiporudi je?..what if wakirudi wakaja na zaidi ya familia(jirani, jamaa, rafiki), mtawakubalia?
 
Mtoto akikosa si kumfukuza nyumbani unamuonya kwa bakora na maneno makali,shida tuliyonayo baba wa kufanya hivyo anakula tende na gahawa omaniiii
 
Ni sehemu ya nchi yetu eti, ni kuwatandika fimbo tu watulie sio kupunguza sehemu yetu.
kwi kwi kwi kwiiiiiiii....dah jaman maoni mengine inabidi uandae mbavu!!!!Ok nadhani ni ushauri mzuri,mtoto zake bakora adabu itamkaa.
 
Pole zao! chonde chonde wasikimbilie huku na udini wao wauache huko huko
maana UAMSHO + UPONDA = ALQAIDA/ALSHABAB!!!
 
Ndugu zangu, tangu machafuko yaanza Zanzibar, Wazanzibari wengi tangu jana wanamiminika kwa wingi sana hapa Dar es Salaam. Nimekaa bandarini, meli zinazotoka Unguja zimejaa hadi pomoni, lakini zinazoenda hazina watu wengi. Naambiwa wanakimbia machafuko ya wana Uamsho. nadhani huu ni wakati mzuri wa kuwazuia kuingia huku Bara ili watambue thamani na lulu ya kuwapo Muungano. Tangu vurugu zianze, naambiwa Wazanzibari wengi sasa wanasema heri Muungano udumu milele.

Ushauri: Tuwazuie kuingia Bara ili walau waonje adha za kuuvunja Muungano. Wenzangu mnasemaje?
Wanayo sababisha hizo vurungu hujui kama ni muungano ? Jesho liliopo zanzibar hujui kama la muungano ? Sababu ya kukamatwa kwa shekh wa wazanzibari hujui kama alikuwa na msimamo juu ya muungano ?

Unadhani hali hiyo ya machafuko inatoka na nini ? Muuungano, Nina wasi wasi SHEKH alio kamatwa amechukuliwa na USALAMA WA TAIFA.

Huna hoja kijana .
 
Sasa unakimbia kutoka ahera kwenda jehanamu? Uyo Farid na uamsho Hata uku sikuna ponda na uamsho? Hawa wazuiwe maana wataleta alshabab Wacha wamalizane wenyewe Kama walivyo anza sema nchi haina msemaji
 
Dawa ya wazanzibari ni kuwatoa wote. Waletwe huku bara na kpangwa kila mkoa wazanzibari 46,000. Wasikae kijiji kimoja wawili La! Kila kijiji mmoja tu anatosha. Kama ni mke basi aolewe alipo na kama ni mume aozwe alipofikia.Watolewe watu Bara wakijaze Z'bar na kundi jipya. Z'bar itabaki kuwa wilaya moja ya Bara na confyoo yote itakwisha. Muungano umedumu muda wa kutosha kama suruali sasa. Mbona hakuna anayesema wazeewetu walivaa ngozii na magome ya miti tudumishe milaaa. Tumechoka na kelele zao sasa. Tufike mahali zikomeshwe mara moja na mwisho kabisa.
 
Inakuwaje suala la kupotea shekhe wao hasiri zinaishia kwenye kuchoma ofisi za ccm ,hapo moja kwa moja kuna jambo liko nyuma ya pazia..hiki kikundi cha uamsho ni jina tu laki lengo na madhumuni yake ni siasi .
 
Shule ndogo na hata tuliowabeba bara bado awana uwezo wa kuwasaidia wenzao watafanyaje zaidi ya kuuana
 
asilimia kubwa ni dini maana namna dini ilivyowakaa mioyoni mwao ndiyo inapelekea kuyafanya haya tunayozidi kuyasikia na kuyaona.
Taifa linazidi kuzama.Waombaji wasiposimama imara nchi yetu itayumba kwani vyombo vya ulinzi vya kibinadamu kimeshaprove kushindwa kudhibiti wenye mawazo ya uuaji na uharibifu wa mali za watanzania
 
tatizo la zanzibar si dini wala siasa.tatizo ni kuipa hadhi ya nchi wakati ni mkoa.so wanahitaji mambo km nchi hebu tuipe hadhi ya mkoa tuone.
 
Inakuwaje suala la kupotea shekhe wao hasiri zinaishia kwenye kuchoma ofisi za ccm ,hapo moja kwa moja kuna jambo liko nyuma ya pazia..hiki kikundi cha uamsho ni jina tu laki lengo na madhumuni yake ni siasi .
Tatizo la ZNZ ni la kijamii na kisiasa! Likipamba moto ndio hukusanya makanisa na muungano. Kuna umasikini mkubwa ZNZ familia chache za wanasisa ndio wanaishi wengine wana survive tu. Na hili ndio linatapikia Bara, Vijana na asilimia kubwa ya watu wamechoka nyie wachache ndi mafisadi, mafisadi to be, na aspirant to be mafisadi unategemea nini ukichanganya na dharau kwa dini zisizo zenu??
Kumbuka hakuna amani kwenye umasikini ni utulivu tu, ndio maana ukimwaga mafuta kidogo tu kwenye moto, mlipuko lazima utokee!
 
Dawa ya wazanzibari ni kuwatoa wote. Waletwe huku bara na kpangwa kila mkoa wazanzibari 46,000. Wasikae kijiji kimoja wawili La! Kila kijiji mmoja tu anatosha. Kama ni mke basi aolewe alipo na kama ni mume aozwe alipofikia.Watolewe watu Bara wakijaze Z'bar na kundi jipya. Z'bar itabaki kuwa wilaya moja ya Bara na confyoo yote itakwisha. Muungano umedumu muda wa kutosha kama suruali sasa. Mbona hakuna anayesema wazeewetu walivaa ngozii na magome ya miti tudumishe milaaa. Tumechoka na kelele zao sasa. Tufike mahali zikomeshwe mara moja na mwisho kabisa.

ubongo wa kitoto kabisa!
 
Shule ndogo na hata tuliowabeba bara bado awana uwezo wa kuwasaidia wenzao watafanyaje zaidi ya kuuana
Umembeba nani wewe mngese umembeba mkeo na familia yako! Aina ya watu wenye upeo mdogo kama wewe ndio mtachelewesha ukombozi wa nchi hii...nakubaliana na atakeamua kukuchinja wewe ****, think critically, haya maneno yanayotoka nadhani sehemu yako ya kunyea ndio yanatugawa na kufanya hao magamba wanaochochea hizi vurugu wafurahi na kwa hivi watashinda kirahisi 2015.Halafu ukikaa chini unaona eti CDM itachukua nchi 2015 my ass!!
 
nafikiri tutakua na mjadala mrefu usioisha cha msingi dola ifanye kazi yake kuhakikisha sheria zinafuatwa.hao uamsho kina ponda hawana hoja za msingi.km wangekua na hoja zenye tija kwa nini wafanye fujo hakuna njia mbadala.hii nchi ni ya upendo na amani.
 
Back
Top Bottom