Naweka dhamana vyeti nahitaji msaada wa mkopo

Ruble

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
615
1,028
WanaJF ndugu yenu nina mkwamo nahitaji kufanya biashara kidogo. Naomba kwa anayeweza kunisaidia mkopo wa elfu 50. Mimi dhamana yangu cheti cha kidato cha nne na cha sita. Nakaribisha ujumbe wa meseji inbox kwa atayeguswa kunisaidia wakubwa zangu.
 
Mmmh hebu nenda kwa mbunge wako au ofisi ya wilaya ambayo iko karibu yako kuna mikopo ya kiasi hicho ila itabidi ujipendekeze kwa chama tawala
 
Msimkatishe mdau tamaa, amesema dhamani ya kile anachokiona cha thamani kwake na bei anayotaka ni 50k, huwezi jua ukimpatia hiyo amount utakua umemkwamua kiasi gani. Mwenye nayo ampatie tu jamaa, unaweza kuifanya kama sadaka tu ama fungu la kumi
 
Back
Top Bottom