Nawatafuta hawa viumbe (schoolmates)

Tukaze buti kuzitafuta,then nikipata adrss yake ntakupatia,
ila unaweza kula?,
Maana ni dume!!!
Bado hujalala tu wewe Lulu?au ndio umejikuza ili upate uduma ya pombe bar?ok mamako mzima?mwambie unasalimiwa na anko,akikuuliza tulipokutania mwambie tulikutana dukani ulinvoenda kununua sabuni.
 
Bado hujalala tu wewe Lulu?au ndio umejikuza ili upate uduma ya pombe bar?ok mamako mzima?mwambie unasalimiwa na anko,akikuuliza tulipokutania mwambie tulikutana dukani ulinvoenda kununua sabuni.

Mimi mtoto wa geti,situmwi dukani,anaendaga anti...anti Asuu!!! Labda nimpe huyo salamu zako!
 
Jamani wana Jf, (Maana Jukwaa hili nalo pana) kama kuna yeyote anayewafahamu watu hawa (Nadhani watakuwa wakubwa maana tulisoma nao enzi hizooo S/msingi Ligula 2003) awasiliane na mimi,
1. Asha VanDamme,
2. Amina Ntawanya,
3. Catherine Commando,
4. Fredrick Chungulia,
5. Mshosha Kibila,
6. Chatu Walala,
7. Shombo Mchomeke,
8. Nguruka Kinabo,
9. Kichale Kikukuma na,
10. Palizi Mpannji,
Awasiliane nami,
Unataka kujua mkoa gani, pitia majina vizuri.

Du huyo no Tisa labda jukwaa la kikubwa khaa.
 
Jamani wana Jf, (Maana Jukwaa hili nalo pana) kama kuna yeyote anayewafahamu watu hawa (Nadhani watakuwa wakubwa maana tulisoma nao enzi hizooo S/msingi Ligula 2003) awasiliane na mimi,
1. Asha VanDamme,
2. Amina Ntawanya,
3. Catherine Commando,
4. Fredrick Chungulia,
5. Mshosha Kibila,
6. Chatu Walala,
7. Shombo Mchomeke,
8. Nguruka Kinabo,
9. Kichale Kikukuma na,
10. Palizi Mpannji,
Awasiliane nami,
Unataka kujua mkoa gani, pitia majina vizuri.
Huyu no7 namjua,nipe Tigo yako nikuelekeze anapopigia mzigo?
 
Huyu no7 namjua,nipe Tigo yako nikuelekeze anapopigia mzigo?

Tigo yangu inasumbua,majamaa wameichezea sana mpaka wakai-block,
ila ucjali nina mbadala wa Tigo utauweza?
Ila ctak kusikia kidole kimechoka kuperuzi na kudads!!
 
Tigo yangu inasumbua,majamaa wameichezea sana mpaka wakai-block,
ila ucjali nina mbadala wa Tigo utauweza?
Ila ctak kusikia kidole kimechoka kuperuzi na kudads!!
Khaa!leo huendi shule we katoto?
Ebu niletee hilo dodo nilione kama limekomaa,kama bado ntalia ata chumvi kha!umenikosha sana.
 
Back
Top Bottom