Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Kesho ni siku muhimu sana ya kukumbuka mtanzania aliyekuja kuleta mabadiriko ya fikra , alikuja ghafla na kuondoka ghafla.
Kuna mengi sana ya kujifunza toka kwake, na ameacha alama nyingi ambazo hazita futika katika taifa hili.
RIP Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania Nov 5 2015- March 2021.
Kesho ni siku ya kutafakari fikra zake .
Je ni mafanikio yapi ameyaacha ambayo ni tofauti na Marais wengine?
View attachment 2936504View attachment 2936505