Nawakubali wanawake wote wenye kutumia akili zao wenyewe kufikia mafanikio

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,177
7,750
Nawapongeza wanawake wote ambao wanatumia uwezo wao wa kiakili kupambana na hatimaye kutoboa/kufanikiwa, wanawake wasio bebwa au kutumiwa kingono ili wapande juu au wafanikiwe hao ndio wanawake wa shoka.

Wanawake jiheshimuni, acheni kutumiwa miili yenu ili kupanda au kufanikiwa. Utafiti usio rasmi unaonyesha wanawake wengi maofisini wanamahusiano ya kingono na mabosi wao wajuu!!!! Jambo hili linawadhalilisha sana wanawake.
 
Back
Top Bottom