dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,412
- 19,436
- Thread starter
- #441
Mkuu ushafungua ofisi tayari?
Mkuu ushafungua ofisi tayari?
Jeans picha chache halafu hujaweka na bei zake.Bado, Najipanga nifungue kamanda
Jeans bei yake ni 19,000 picha zipo chache kwasababu sijazipiga pichaJeans picha chache halafu hujaweka na bei zake.
Sawa mkuu, mdogo mdogo utatoboa In Sha AllahBado, Najipanga nifungue kamanda
Fanya uongeze picha maana ndio kila kitu mkuu.Jeans bei yake ni 19,000 picha zipo chache kwasababu sijazipiga picha
sawa kamandaFanya uongeze picha maana ndio kila kitu mkuu.
Kama hiziMzee ndio uligoma kuweka picha za jeans au zimeisha?
Ni Tsh 23,000/ comradeMkuu hebu nikumbushe bei ya kadeti
Ni Tsh 23,000/ comrade
Jumla bei gani?
Ni tsh 19,000Jinsi bei gan
Hii hapa 0657438581safi sana, naomba namba nikuchek
Napatikana kinyerezi, ila kwa hiyo bei nakuletea hadi ulipo darGood unapatikana wap