Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2

salasala

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
223
54
Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2. Zote ni original , zipo kwenye hali nzuri sana. Zimetumika kwa miezi 5 tu. Starting price kwa zote ni Tsh. 900,000/=.
 

Attachments

  • 1429918409043.jpg
    1429918409043.jpg
    51.3 KB · Views: 491
  • 1429918485181.jpg
    1429918485181.jpg
    93.1 KB · Views: 461
Gear ni zaidi ya saa. Ina synchronize na simu kupitia bluetooth, inakuletea mawasiliano yote ya simu kwenye saa. Kama sms, emails, Whatsup .... na unaweza kupiga na kupokea simu kupitia hiyo saa.
 
sasa nikinunua sim na saa nikampa mtu si atakuwa anapata all my privacy
 
au inakuaje? na mfano sim ukampa mkewe ukabaki na saa si ni easy way ya kumspy.....hahaaa just curiosity
 
wiseboy, simu inafanya kazi na sam mpaka ufanye setting. Unaweza fanya ziwe zinawasiliana au zisiwasiliane. chingunduli, Gear2 inafanya kazi na Note 4 bila shida.
 
Last edited by a moderator:
Nando, inapungua mkuu. Kama Upo serious ni PM tufanye biashara.
 
Last edited by a moderator:
Simu bila gear Sh. 650,000/=. Lakini kuna maelewano, if you are serious.
 
Simu bila gear 650,000 na gear peke yake unasema 300,000 jumla 950,000 mbona kama bei inazidi badala ya kupungua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom