Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

PROSPER 05

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
226
217
Halo, Nauza Playstation 2 Zipo 4. ni ps 2 Phat zile nene ambazo ni ngumu na zinafaa kwa Biashara
Kila ps inakuja na waya zake.(kama unataka Games na Pad na Memory tutaongea)
ps2.jpg images.jpg


Bei:
PS2 Moja Tsh 150,000 (utasave 50,000 Kawaida huuzwa tsh 200,000)
PS2 Mbili Ths 250,000 (utasave tsh 100,000)
PS2 Tatu Tsh 360,000 ( utasave tsh 240,000)
PS2 Nne Tsh 450,000 ( Utasave tsh 350,000)

Ps zote Zimechipiwa, maana yake hazihitaji CD Kucheza game. unaweza kucheza games zilizohifadhiwa katika Flash..

Nipo Morogoro. Serious Buyers Only nicheki WhatsApp: (0718-136067)

Kama una Swali comment hapo chini
 
Kwa waliouliza Pia Nina PS 3. bei 370,000. ina gemu 5 ndani na ina Padi 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom