Nauza mitungi ya gesi mikubwa

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
nipo dar mitungi ya oryx mikubwa ...miwili ina gesi mikubwa na mitatu haina ges mikubwa,,bei maelewano,,nichek 0687648670
 
Mtu anayeuza Mtungi wenye Gas Mara nyingi hii mitungi inakuwa ni ya kupiga. Sasa basi ukute Mtungi umeibwa sehem halafu aliyeibiwa kaenda kusoma albadiri.

Jirani yangu anafanya Biashara ya Gas,alitoka kununua Gas mitungi 52, usiku wakaja vijana wa kazi wakamuibia mitungi yote. Mtaji wote ulikuwa ni 7m.

Alilia kama Mtoto, haikuishia hapo, akaenda ZnZ kusoma albadiri kwa aliyeiba na yoyote aliyenunua. Ilikuwa kimbembe. Walionunua ndo waliokuja kulipa, tena walimlipa zaidi ya Mara Mbili.

Tuwe makini na hivi Vitu Vya Dili, sio vzuri hata kidogo.
 
Hahaha.....umenikumbusha kuna mmoja nilimwona amesomewa hiyo Albadiri baada ya kuiba ng'ombe kijijini, Tumbo lilijaa kama mtungi wa maji hatimaye alipoteza maisha.
 
Back
Top Bottom