Nauza Miti ya Muarobaini iliyokomaa kwa matumizi ya mbao/mkaa !!!

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Hello JF,
Nina miti yangu ya mwarobaini. Nafkiria kuikata niiuze kwa kweli imekomaa sana na inaweza tumiwa kwa ajili ya mbao au mkaa. Nilikuwa naomba wadau mnisadie kukadaria thamani yake each in Tshs ili ni estimate faida/hasara zake. Kuhusu eneo husika ni private owned.

Shukrani.
 
Nasikia mbao zake ni kama Mninga,ila advantage yake ni kwamba hazigongwi kabisa. Na mimi ninayo ila haijakomaa sana.Ukipata mteja komaa,nasikia ni mali kweli kweli.
 
Thanx mkuu.....lakini nahitaj kujua thamani yake ili nijue ntambana vp anae nunua....najua ni mali sana kuna mahala kuna heka nyingi sana kuna mpango wa kukata miarobaini yote cz wana mchakato wa kufanya construction.
 
what is the approximate diameter of the trunk of your trees
 
well cjapima but ni kama tairi ya gari ndogo eg. mark II grande....alaf urefu wa unene kwenda juu ni kama 6.5 au 7 feet...then una split in branches ambazo nazo ni nene pia kama nguzo ya umeme. Uko katka hali nzuri kwa kweli !!
 
Back
Top Bottom