Nauza laptop Dell Inspiron N4030

Bashatu

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
834
885
Ndugu Wananchi, nauza laptop yangu;
dell inspiron 4030.
HDD ni 300gb,
RAM ni 4gb,
processor ni 2.13 duo,
memory card slot
na cd/dvd player,
inakaa na chaji kwa saa 2.
windows 8 iko tayari kuinstall windows 10, activated office 2010.
black na ina webcam. bei ni 300,000 tsh. . kwa dar waweza kuiona, tuwasiliane kwa
0653 903 138.
attachment.php
attachment.php

 

Attachments

  • IMG_20151102_182148.jpg
    IMG_20151102_182148.jpg
    390.8 KB · Views: 910
  • IMG_20151102_182026.jpg
    IMG_20151102_182026.jpg
    325.8 KB · Views: 840
na wa mikoan 2naipataje

ni mawasiliano na makubaliano. nakutumia kwa basi ila pawe sehemu inafikika kwa mabasi ya moja kwa moja kutoka dar es salaam. kama haupo kwenye eneo hilo mfano bariadi au karagwe, ni bora uwe na mtu unayemwamini maeneo ya shinyanga au bukoba ili apokee mzigo, vinginevyo tunaweza tumia shirika la posta ambalo litakufikishia mzigo wako. ninacho kijali ni kuridhika kwa mteja.
KARIBU SANA...
 
Mkuu samahani sana ila kijana mwenzio nina kiasi kidogo cha fedha nina 250 sasa sijui itafaa kufanya biashara
 
Offer hii inakaribia kufikia mwisho. wahi sana ujipatie offer hii. wenye uhitaji na uwezo wa kununua tuwasiliane 0653 903 138
 

Attachments

  • Untitled.png
    Untitled.png
    132.4 KB · Views: 113

Similar Discussions

Back
Top Bottom