Nlikutembelea tuu, mm nilinunua 1,100,000Kaka hii ulikuwa unaendeshea barabara zipi?.....Daaa, nilkuwa sijasoma bei, ni 1.9Billion pesa ya Tanzania? bei ya kununua hii kitu mbona ni around 200,000USD ikiwa mbele, ukijumlisha nauli na kodi sidhani kama itafika M900!!! Hata hivyo kama kweli unalo hili JINI ANASA hapo kwako kwa ajili ya kutembelea tu nakuamkia SHKAMOOO!
Bwana mbona hio sio lamborghini gallardo.Cc 6000, nimetumia 1 year and niya 2009 and bei ni 1.9 billion for more details email me on emilrama@gmail.com
Too high strung and too low slung of our roads!!! .... not to mention the high risk of the uninsured TZNs smashing into it when brakes fail ......
Bwana mi nasoma mwaka wa 5 sasa kwenye Ferrari high school ya modena(italy) na kiwanda cha lamborghini hakiko mbali sana na mwaka jana nimefanya field pale na tunasoma kuhusu haya super car, hio sio gallardo sababu gallardo ya mwaka 2009 haina exhaust moja kati kati maximum hio inaweza kua lamborghini murcelago lakini sio gallardo. Halafu lamborghini hana model inayoitwa "gullardo", anatengeneza model kama gallardo, murcelago, diablo, miura, reventon, aventador, urraco. Hio inaweza kua ya kichina. Nenda kaangalie kwenye google na angalia picha za model ya lamborghini gallardo.Kama unataka kununua njoo ulione kama cyo gullardo
Hili mimi nlikuwa na drve barabara ya masaki and mikocheni only now na2mia hummer h3 popote