Nauza kuku wa kienyeji na mayai yake

Mkuu nataka matetea 3 _5 kama yapo nipm hapa nahitaji tuwasiliane mkuu lakini sio vitoto vya kuku &jogoo mkubwa mmoja mkuu tuwasiliane ktk pm...
 
kama majogoo wakubwa ni show mi uwa nachukua 10 kila baaada ya week mbili ila wasiwe watoto wa kukutuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom