Nauza kiwanja kipo korogwe mjini, kimepimwa na kina letter of offer

hiyo bei mgosi, hata kama kiwanja kinaugomvi huwezi kuuza kwa bei hiyo.
naishi korogwe kwa hapa mjini hakuna kiwanja cha chini ya sh. 2m na kwa vile vinavyogawiwa na Halimashauri ya Mji kwa mara ya mwisho bei ya chini ilikuwa 1m navyo vipo nje ya mji kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom