Nauza haraka samsung galax 3 orginal bei poa

Kujua original unapiga *#0*# unafungua sensor then unaweka mkono juu yake ikivibrate ni original
Hiyo njia huwezi tambua maana hata za mchina zinakubali. Ukitaka kutambua kama ni original we piga *#0011# itakuja Service mode

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Yap vyote vipo na ni original unarusiwakufanya mkuu
 
Mkuu wewe tukuthibitisha hii ni orginal tumia njia zozote kujilizisha haina tatizo karibu
 
Hiyo njia huwezi tambua maana hata za mchina zinakubali. Ukitaka kutambua kama ni original we piga *#0011# itakuja Service mode

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Kwa mtindo huu Ifikie hatua samsung wafanye kitu ili kuondoa mkanganyiko kwa wateja. Mbona kwa nokia hakukua na mambo kama haya sana?
 
Mkuu umeisibitisha au leo unata uonekane nawewe ulingia jf KIBURUDISHO
 
Nauza S3 mpyaaa kwene box lake warranty 6 months bei 400000 tu mzigo upo wa kutosha Note 2 pia zipo bei 470000 tu karibuni
 
Tangazo lako mkuu halikutosha mpk ungilie tangazo langu
 
Simu zipo safi sana haina michubuko yoyote bei yasamsung 3 original 350,0000 bei inapungua kidogo dar popote unatumiwa kama upo nje ya dar es salaam napatikana dar ina protected kwenye kioo karibuni 0755984282 karibun sana
Jamaa vitu vyake vyaukweli sijui anavofumaga wapi??o
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom