@nauza b.berry bold 9700 bei poa,digital camera na simu aina mbalimbali,0652740304

ALLY RIYAMI

Senior Member
May 26, 2012
115
15
Am ally riyami from udsm nauza simu aina mbalimbali ila ni second hand from s.africa na canada,nina black berry bold 9700,9900,sonny erickson experior hark,sumsung galax s3,d.camera 16megaplx,motorola slide na laptop min aina ya lenovo new model mpyaaa,call me 0652740304 na simu kibao unazozijua
 
Mkuu natafuta Nokia 1280, naweza kupata kwa sh/dola ngapi?
 
nataka black berry au samsung iwe na hadhi ya 'ke' ni pm ili uniambie bei.
 
Hata hapa kwa Benson zinauzwa!! Labda ungetuambia tofauti ya hizo zako na hizi za mlimani city,kwa nini tununue zako na sio hizi za sound&vision??
 
Hata hapa kwa Benson zinauzwa!! Labda ungetuambia tofauti ya hizo zako na hizi za mlimani city,kwa nini tununue zako na sio hizi za sound&vision?? Hazina bei?vigezo?hazina hata kadhalika? Au kwa vile ni za udsm basi zimesoma!
 
Hata hapa kwa Benson zinauzwa!! Labda ungetuambia tofauti ya hizo zako na hizi za mlimani city,kwa nini tununue zako na sio hizi za sound&vision??
Amesema ni zilizotumika...Sound vision siku hizi wanauza used?
 
Amesema ni zilizotumika...Sound vision siku hizi wanauza used?

Kama s&v wanauza kwa sh 100000 kwa simu mpya,na mheshimiwa wetu hapo juu akauza hiyohiyo kwa 100000 huoni kutakuwa na usawa wenye tofauti hapo? Nataka anishawishi kununua ya kwake na siyo ya Benson sawa?
 
Am ally riyami from udsm nauza simu aina mbalimbali ila ni second hand from s.africa na canada,nina black berry bold 9700,9900,sonny erickson experior hark,sumsung galax s3,d.camera 16megaplx,motorola slide na laptop min aina ya lenovo new model mpyaaa,call me 0652740304 na simu kibao unazozijua
weka bei hapa wateja washindwe kwa nini ufiche na ni used ,na picha zake au bado wazipenda ,.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom