Computer4Sale Nauza Asus laptop core i3 ikiwa na nvdia gforce 4gb dedicated graphic card with 8gb ram

Brand new ASUS LAPTOP yenye hizo specs inaweza kufika milion na point kadhaa,mimi nilinunua refubrished laki 8 na 40..mwezi wa nne mwishoni ikiwa imekuja na Windows 8.1....so nimeiupgrade kwenda Windows 11

Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
LAKI SITA hiyo sina sasa hivi ila nahitaji kweli machine yenye nvidia atleast 4gb kama hiyo, uliponununua laki nane ni wapi
 
LAKI SITA hiyo sina sasa hivi ila nahitaji kweli machine yenye nvidia atleast 4gb kama hiyo, uliponununua laki nane ni wapi
Nenda pale kwenye kituo cha mabasi Kongo...hesabu jengo la kwanza la pili ,jengo la tatu kama sikosei...Kuna duka la msomali anaitwa Zaheed..
 
Boss nina shida ya pesa na ninauza mali yangu halali kama wengi wafanyavyo humu bila kuwa na risiti ,uhitaji wangu wa pesa umenifanya nihisi kama umeittack biashara yangu na negative energy,na sina uhakika kwamba umefanya hivyo in good faith au unanichawiaa...maana kugenelarize mawazo yako na kuyatoa hewani kama msemaji wa watumiaji wa jamii forums sio sahihi,I will take your comment in positive way...kwamba umenisaidia kuupdate tangazo langu.
Well hizi ni mali zangu halali na risiti sina kwa vile siuzi mali ya dukani..

Biashara inafanyikia nyumbani kwangu ambako pia mteja ana haki ya kujiridhisha kwa kila hali.
Pia kuna bidhaa nyingine nyingi tu za kielectronics kama vile micro waves,humidifier,tiles cutter,hd monitors na lcd monitors na mazaga mengine mteja akija atapata nafasi ya vingine pia atakavyopenda ila risiti sina.
Labda tunaweza tengeneza mkataba wa mauziano na muhuri wa wakili if neccessary.
Jukumu lako ni kuhakikisha mali ni zako. Siku hizi electronics za mkononi zimekuwa majanga sana.

Anyway, ikitosha man nifikirie nina 400k kamili

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiyo machine sana

Atakae nunua hatojutia, kwanza kampuni ya Asus ni nyoko sana in town hawana show mbovu
Msifosi tucomment basi mkuu....

Mashine yenye intel core, then ina windows 11, unategemea nini hapo?

Anyway, jamani hii mashine kali sana, mwenye hiyo pesa achukue tuu hatojutia kuwa nayo ila ahakikishe anairudisha kwenda windows 10.
 
Msifosi tucomment basi mkuu....

Mashine yenye intel core, then ina windows 11, unategemea nini hapo?

Anyway, jamani hii mashine kali sana, mwenye hiyo pesa achukue tuu hatojutia kuwa nayo ila ahakikishe anairudisha kwenda windows 10.
Tuanze na kampuni
Asus ni the best

i3, sio haba

Nvidia


Labda hyo window 11, japo sijaona tatizo lake
 
Msifosi tucomment basi mkuu....

Mashine yenye intel core, then ina windows 11, unategemea nini hapo?

Anyway, jamani hii mashine kali sana, mwenye hiyo pesa achukue tuu hatojutia kuwa nayo ila ahakikishe anairudisha kwenda windows 10.
Kwa nini.... Fafanua kidogo please.
 
Windows 11 ina shida gani kwenye hii pc boss...hebu nipe Elimu....
Hii pc ipo above minimum requirement for Windows 11
Windows 11 inahitaji minimunm RAM 4GB ina 8GB RAM,
Windows 11 inahitaji processor ya atleast 1Ghz with 2 core hii pc ni 1.8Ghz core i3
Windows 11 inahitaji minimum storage ya 64GB hii ina storage ya 500GB
ina TPM 2.0
na pia hii Windows 11 inayo run humu sijafanya clean installation nimeupgrade online kutoka Windows 10.
on top of all ina dedicated NVDia Graphics card
Toa elimu shida ipo wapi kwenye kurun windows 11 boss
Windows 11 ina-run kuanzia intel's 8th generation.... Yani namaanisha hata ikiwa i3,i5,i7 basi ni lazima ianzie 8th gen.

Ukikuta pc ina 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th au hizo sijui intel core, intel pentium na ina windows 11 jua ni ya ku force.
 
Swala la Windows 11 kurun kuanzia 5th Gen haya ni mawazo yako tu,Microsoft wenyewe ...tunazungumzia wamiliki na waandaaji wa Windows os wameshaweka minimum requrement for pc to run windows 11,na iwapo pc itakuwa haijakidhi hizo minimum requirement the n ukafanikiwa kuinstall Windows 11 hapo sawa ndio utakiwa umeforce case ambayo haipo kwenye hii PC nayouza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom