Nauliza wale tunaonyesha sasa Upendo Tukuka kwa Samia tulikuwa wapi Kumuonyesha wakati John akiwepo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
Halafu natoa ONYO mnaojifanya Kumpenda na Kumsifia sana sasa tutakuwa tunawarekodini na hata kuwapigeni Picha au kuchukua Video zenu mkiwa nasi Vijiweni mnamkandia na kumdhalilisha Samia Wanafiki wakubwa nyie sawa?

Badilisheni hicho Kijiwe chenu cha Majungu na Unafiki cha Mbezi Beach zilipo hizo Appartments za CDF Mstaafu Mmoja kwani tayari mmeshashtukiwa na kuna Watu wa Kazi wameshamwagwa hapo na mmoja ni Mhudumu wa Kike hivyo anawazumu tu kisha mkiwa mbele ya Mic za Media mnajifanya kumpa Sifa za Kukufuru Samia Suluhu Hassan (Rais wa Tanzania).

Shauri zenu.
 
Back
Top Bottom