Natumia Biblia kutatua changamoto

Gibbethon bible code

JF-Expert Member
Oct 9, 2023
441
677
OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45)
zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia.

PM NIMEIFUNGA
Kama una-ushuhuda Mungu amekufanyia baada ya kutumia bible code share huku usiogope., na kama una swali na unataka privacy uliza hapa kupitia hii namba 0713520180, huduma hii ni ya online kwa asilimia 100.

NI BURE BILA MALIPO YOYOTE YA FEDHA NA HAZINA ISHARA YEYOTE ILE KATIKA ULIMWENGU WA MWILI BALI ZIMEJIKITA ROHONI (NI PASSIVE)-(Mathayo 10:8)
Gharama ni imani na subira yako, hakuna dau lolote la kumuona mtu we tumia hizo bible code kwa imani yako utapona.
 
NAMNA MUNGU ANAVYO WEZA JIBU MAOMBI YAKO BAADA YA KUTAMKA BIBLE CODE
  • Kama baada ya kutamka hizi code una-kifungo cha hofu endelea kutamka mpaka kiondoke na kije kifungo cha amani-hii ni moja ya ishara ya Mungu kujibu maombi yako au hitaji lako analifanyia kazi
  • Utaacha kutamka hizi code pale ambapo kiu ya kuzitamka haipo tena ndani yako ni ishara Mungu kujibu maombi yako katika ulimwengu wa roho na kwa mda wake utaona katika ulimwengu wa mwili
  • Mungu hajibu maombi kama unavyotaka bali anajibu anavyoona ni sahii kwako. Kuna watu baada ya kutamka hizi code Mungu ameshajibu maombi yao ila hawajajua kwa sababu wanataka Mungu awajibu kama wanavyotaka wao., jambo la kukumbuka ifanyie kazi fikra iliyokuja baada ya kutamka hizi code usiipuuzie hilo ndo jibu lako
  • Mungu anajibu maombi in an ugly way, awkward way na kwa namna usiyotarajia na usiyoipenda ila in long run utaona ile picha uliokua unaitaka kuiona kwenye hitaji lako mwanzoni
  • Mungu ni mara chache sana anatumia miujiza na ishara kujibu maombi yako., Ni mara nyingi sana na kawaida kutumia fikra zetu kujibu maombi yetu.
  • Sio kila hitaji unalomuomba Mungu atakujibu mengine atakataa ila ni kwa faida yako usijisikie vibaya fahamu ni kwa faida yako
  • Kuomba hitaji kwa Mungu na akakujibu na ukapuuzia jibu la Mungu ukaendelea na mpango wako huo ni uasi sababu neno la Mungu ni sheria halitoki bure mfano umeomba mke/mme kwa Mungu amekuletea wewe umemuona sio mzuri au huna hisia nae ukaamua kuachana naye huo ni uasi na laana ya Mungu itakuandama maisha yako yote. Kuna baadhi ya mahitaji kabla hujamuomba au kumuuliza Mungu fikiria kwanza kwa sababu neno lake ni sheria na akiongea halirudi bure
"Don’t stop praying because you don’t see results immediatel
 
ENDELEA KUBAKI KWENYE DHEHEBU LAKO
Utaendelea kubakia kwenye kanisa lako unalosali sababu sina kanisa au mpango wa kufungua kanisa in short fellowship nafanyia online

WATU WA DINI NYINGINE
Watu wa dini nyingine ambayo sio wakristo mnarusiwa kutumia hizi bible code ni kwa ajili ya watu wote
 
Foundation bible code X:- MESE MESE MEMESI MEMESI
Kazi yake;- Yesu kukubatiza kwa Roho mtakatifu na moto (Yohana 1:33, Matendo ya mitume 2:1-25, luka 4:18, waamuzi 14:6,19, Waamuzi 15:14)
Kama una-mtoto mchanga au mtu mzima ni vizuri ukamuomba Yesu akambatiza kwa Roho mtakatifu na moto
  • Roho mtakatifu kukaa juu yako
  • Roho mtakatifu kukaa ndani yako
  • Roho mtakatifu kuhuisha akili zako zifanye kazi kwa manufaa yako
  • Roho mtakatifu kukupa nguvu kwenye shughuli zako za kila siku
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa msisitizo na imani mpaka Yesu kristo atakapombatiza kwa Roho mtakatifu na moto na atakupa ishara ya kukujibu
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code-angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mtoto wako mchanga-Unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa msisitizo na imani mpaka Yesu atakapombatiza kwa Roho mtakatifu na moto na atakupa ishara ya kukujibu
(Majina yake matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa msisitizo na imani mpaka Yesu kristo atakapombatiza kwa Roho mtakatifu na moto na atakupa ishara ya kukujibu
(Majina yake matatu unayemuombea-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code anagalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri tu)
 
IPO siku utajiita pastor,
Tatizo, kubwa, LA wananchi ni kipato, anzisha kiwanda kama cha bakhresa, au, kituo kama wasafi utoe ajira,
Tangu dunia iumbwe, biblia haijawahi kutatua matatizo ya kiuchumi, kitekinolojia nk, USA, Japan, Korea kusini, Russia, south Africa hazikujengwa kwa kusoma biblia!
Acha utapeli! Watu walifanya kazi ya, mikono,kutumia bongo zao tu, Wachina wanaotujengea miundombinu, hata bible hawaijuhi
 
Foundation bible code XX:- NEPE NEPE NEPE NEPE
Kazi yake;- Yesu kukutawadha miguu na mikono yako ili adui yako asiitumie miguu yako na mikono kukudhuru
(Yohana 13:5)
Hii ni foundation bible code hakikisha baada ya kubatizwa kwa Roho mtakatifu na moto unafanya haya maombi kwa kutamka hizi code

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Yesu atakapokujibu
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa iman na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Foundation bible code XXX:-MENE REPE TEKELI PERESI
Kazi yake;- Yesu Kutahiri govi ya moyo wako
(Yeremia 4:4, Kumbu kumbu la torati 10:16)
  • Kuweka msingi imara wa kumuamini Mungu katika moyo wako nyakati zote utazopitia

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Yesu atakapokujibu
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtoto mdogo/mtumzima-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa iman na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yake matatu unayemuombea-unatamka mara moja tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 01:- TEKE TEKE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Kumuomba Mungu akupe mkate (rizki) wa kila siku
(Mathayo 6;9-13)
Mungu kukupa rizki katika kazi zako za kukuingizia kipato
  • Mungu atakupa akili ya kupata kipato kwa njia za halali hutategemea rushwa kupata kipato
  • Hata-kama ukiwa katika hali ngumu sana huna ajira au unaumwa Mungu atakupa namna ya kupata kipato cha kila siku
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 5 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kazi yake;- kukupa nguvu ukiwa katika nyakati ngumu sana unapopita katika bonde la uvuli wa mauti
(Mathayo 27:46, Zaburi 23)
  • Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, unakua na uchungu wa moyo, pia unajikuta ukitaman kulia lakini machozi hayatoki kutoka..but we have to be strong; sababu ni mpaka kusudi la Mungu litimie ndo ugumu unaopitia utaondoka usitumie nguvu kubwa sana kuondoa hio changamoto sababu italeta negative impact kubwa sana kwako.
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 03:- MENE NENE TETELI TETESI
Kazi yake;-Kuwasha nuru ndani yako
(Mambo ya walawi 6:12-13,)
Kama huna bahati, kama una roho ya kukataliwa, nyota yako ina-giza, Mianga yote ya mbinguni iangazayo juu yako imekua giza, jua limefunikwa kwa wingu dhidi yako, mwezi hautoi nuru yake kwako
  • Kama ni mwajiriwa nuru itawaka ndani yako
  • Kama umejiajiri/mfanyabiashara nuru itawaka ndani yako
  • Kama ni kiongozi nuru itawaka ndani yako
  • Kama unatafuta kazi nuru itawaka ndani yako kwenye interview
  • Kama unagombania nafasi ya uongozi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka nuru itakapowaka ndani yako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka nuru itakapowaka ndani yako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Unatafuta kazi/ unatamka jina na bible code Kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo wakati unatafuta kazi. Na ukiwa unaenda kwenye interview- unatamka kimoyo moyo bible code (kwa siri jirani yako asijue) kabla, ukiwa na baada ya interview
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 08:- RERE RERE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Kuvunja madhabahu za miungu inayokutesa au inayoitesa jamii yako
(1 Wafalme 13:1-5, 2 nyakati 34:4-7)​
Kabla hujaanza kuvunja madhabahu hakikisha unabatizwa kwa moto na Roho mtakatifu kupitia foundation bible code X, na foundation bible code XX baada ya hapo ndo unaanza na hatua ya kuvunja madhabahu na fahamu madhabahu nyingi sana zimeamia kwenye ulimwengu wa roho hazipo tena kwenye ulimwengu wa mwili kama ilivyo zamani​
  • Miti kama madhabahu
  • Kaburi kama madhabahu
  • Kichaka kama madhabahu
  • Kubadilisha sheria katika ulimwengu wa roho iliyoletwa na hio madhabahu
  • Vyungu vyenye mafuvu ya watu
  • Vinyago
  • Kama mizimu inakusumbua
UNATUMIAJE
  1. Madhabahu zilizopo kwenye ulimwengu wa mwili mara nyingi hizi huwaga zinajulikana-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa msisitizo na imani mpaka madhabahu itakapopasuka na majivu ya madhabahuni kumwagika mpaka utakaposhinda ni maombi magumu sana
(Jina la madhabahu-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code mpaka madhahu unaotaka kuivunja kumwagika majivu)
  1. Madhabahu zilizopo kwenye ulimwengu wa roho mahali husika kama sokoni, kwenye mji n.k na mara nyingi hizi hazijulikani na ambao sio mhusika wa madhabahu n.k-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa msisitizo na imani mpaka madhabahu itakapopasuka na majivu ya madhabahuni kumwagika mpaka utakaposhinda ni maombi magumu sana
(Jina la soko/kata/tarafa/kijiji/wilaya n.k-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code mpaka madhahu unaotaka kuivunja kumwagika majivu)
 
UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu anazo nyingi kufikisha ujumbe. Mimi binafsi natumia bible code kuwa agano kwa watu na nuru ya mataifa; kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote ule unaweza acha mzigo ukiondoka au mpaka utakapoona mabadiliko
(Jina lako)(unatamka bible code)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code
(Jina la unayemuombea) (unatamka bible code)

MAMBO YA KUZINGATIA
  • Code zinatolewa bure hulipii gharama yeyote ntakua nazituma huku kwenye huu uzi na matumizi yake
  • Hii huduma inahusu watu wa dini zote sio wakristo tu, hata ukiwa mwislamu, mhindu, budhaa unarusiwa pia
  • Nia yako moyoni mwako ndo itakayoamua either code ifanye kazi au la nikimaanisha kama una nia ovu kama kisasi, kuwa kikwazo kwa wengine, kuwakera wengine, n.k hazifanyi kazi ili ifanye kazi inatakiwa uwe mnyenyekevu
  • Code hazina ishara yeyote ile sababu zimejikita kwenye ulimwengu wa roho na inafanya kazi kimya kimya na ni mara chache sana zina miujiza
  • Code inachukua mda kufanya kazi means inafanya kazi pole pole ni kwa mda gani exactly mapenzi ya Mungu ndo yatakayoamua na ni mara chache sana inafanya kazi mara moja (instantly)
  • Kwenye suala zima la kipato inakupa unachostahili kama ni utajiri itakupa utajiri
  • Inabadilisha sheria za ulimwengu wa roho
  • Hakikisha unafanya kazi hizo code zisiwe tiketi ya wewe kusubiria miujiza
  • Code mda mwingine inaweza isiondoe tatizo linalokukabili ila ikalisitiri (kulifanya kuwa irrelevant) lisiwe ni kikwazo kwako lakin litaendelea kuwepo
Karibuni katika utukufu wa Mungu
Mkuu

Kuna nguvu gani hasa!!?mbona nikitaja jina na hiyo code mene mene tekeli na peresi ni kama Kuna heart beat crescendo fulani hivi!!
 
Alafu unavyosema mimi ni tapeli ebu nionyeshe sehemu niliyokutapeli huwezi tu mtuhumu tu hajakufanyia ubaya ni tanzania tu utakutana na hii hali

Mimi natumia biblia kutatua changamoto wala sio aibu au kuogopa chochote sababu hakuna baya nalofanaya
C mon bro, karne ya 21! Unataka kutatua shida za watu kwa kukalili biblia? Msongo wa mawazo,matatizo ya akili,hizi ni dalili za tatizo kubwa LA uchumi,
Kumuomba Mungu ni swala muhimu, hata tajiri kama bakhresa, au dangote, au diamond wote wanamuomba Mungu, na wametatua matatizo ya watu ya kiuchumi, nk, nyumba za ibada,na viongozi ww dini, wana tu fundisha na kutufafanulia Mambo ya kiroho, spirituality, vitu kama demons, spiritual staff, lakini Mambo ya kimwili kama cha kula, ajira hayatatuliwi na spiritual education,
We unafikri hii jamii forums, walioianzisha, waliomba Mungu ikatokea? walimuomba Mungu awape akili, ili ujuzi, wao watakachokifanya mtandaoni kifanikiwe,
Ukienda kanisani kuomba Mungu akupe kitanda na kabati,yeye atakupa miti, utumie bongo yako kutengeneza vitanda na makabati,
Chunguza Sana, "kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu, ndivyo wachungaji na makanisa ya kilokole yanavyoongezeka, "
Zamani vijana walikimbilia "U motivation speaker ship" Sasa hv kila kijana, anashona suti ana kuwa pastor, ndipo kwenye maokoto"
Huko utaambiwa, leta kucha na nywele, ziombewe!
Ukristo unatumika Ku tafuta pesa za kuishi.
 
Alafu unavyosema mimi ni tapeli ebu nionyeshe sehemu niliyokutapeli huwezi tu mtuhumu tu hajakufanyia ubaya ni tanzania tu utakutana na hii hali

Mimi natumia biblia kutatua changamoto wala sio aibu au kuogopa chochote sababu hakuna baya nalofanaya
Achana nae!

Mambo ya kiroho sio ya Kila mtu!!

Tunasoma na tutafanyia KAZI hasa code ya mene mene tekeli na peresi!!
 
Bible code number 09:- LENE MENE TEKELI MENE
Kazi yake;- kuondoa sumu ya kulogwa mwilini mwako na vifungo vya kichawi
(Mathayo 26:26-28, Ufunuo 1:18)
Kama umelogwa Mungu ataondoa sumu ya kulogwa iliyoko mwilini kwako na inayokutesa
  • Unaangalia kama sumu ya kulogwa ipo mwilini kwako pasipo kujua
  • Kama umekuta nyumbani au ofisini kwako kuna ndege, paka au mnyama yeyote ameuliwa
  • Aliyelogwa amekua mgonjwa
  • Aliyelogwa amekua kichaa
  • Kukuondoa katika vifungo na minyororo ya kichawi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapoondoa sumu ya kulogwa ndani yako
(Unataja majina yako matatu-mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu mwingine-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka aliyelogwa atapona
(Unataja majina matatu ya aliyelogwa-mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)

MUHIMU
Ukishatoa sumu ya kulogwa hakikisha unabatizwa na Yesu kwa Roho mtakatifu na moto kupitia foundation bible code X na Yesu kukutawadha kupitia foundation bible code XX
 
Bible code number 06:- MENE MENE PETELI PETELI
Kazi yake;- kumthibiti mtoto mtukutu aliyekushinda na aliyeshinda wazazi wake
(Mithali 22:06, Mithali 23:13)
  • Mtoto aliyeanza kutumia madawa ya kulevya
  • Mtoto ambaye mda mwingine hakai nyumbani
  • Mtoto asiyekua na heshima
UNATUMIAJE
  1. Unatamka jina la mtoto na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa iman na msisitizo mpaka utukutu utakapoondoka
(Majina ya mtoto matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Back
Top Bottom