Natumaini maisha unayapenda

Mange Njile

Member
Jun 27, 2015
63
2
sikuamini nilipo.abiwa kwaba mshikaji wangu kafaliki hospitall bugado banda ya kufanyiwa opolesheni ya moyo amekaa zaindi ya siku tatu anapumua nabanda yahapo nda ikashindikana hatimae mauti yakamkuta mungu ilaze loho yamalehemu mahali peponi ameni
 
Sijui ni tatizo la simu au ndio tatizo letu la kudumu, kidhungu hatujui na kiswahili hatujui ila tunajua kuongea

Kafaliki-kafariki
Malehemu-marehemu
Opolesheni-operation
 
Back
Top Bottom