Chaimaharage
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 211
- 78
Huyu jamaa mara zote hatoi analysis halisi kwa jambo husika bali upotoshaji.Jiulizeni report zake za REDET,maoni yake kwa jambo lolote la kisiasa hata kama unajua hali halisi atasema tofauti.Mfano anaposema wanaoleta hoja ya kumng'oa PM ni makosa kuishinikiza serikali.Ndiyo maana magazeti kama UHURU wana kimbilia kwake sababu wanajua ataficha ukweli.Tunataka watu kama Prof.Shivji ndio watoe analysis zao manake tunajua weledi wao,lakini siyo huyu KUWADI.