NATO wajipanga kuanza kula keki ya Libya!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
NATO chief envisions role in reconstruction of Libya

13.05.2011 02:30

Anders_Fog_Rasmussen_210710.jpg

NATO Secretary General Anders Fogh Rasmussen on Thursday envisioned a role for the military alliance in the reconstruction of Libya after the government of Muammar Gaddafi is toppled, Xinhua reported.

"In a post-Gaddafi era, I think we may still have a role to play in assisting a new Libyan government in the transition to a sustainable democracy," Rasmussen said in response to a question after making a speech on NATO at the Washington-based Johns Hopkins University.

"One of the areas where NATO has particular expertise is reform of the military and security sectors," he added, noting that a central part of transition to democracy is for the military and security sectors coming under "democratic control."

"To that end, we need reforms, and this is an area where NATO could assist," the NATO chief said.

Full Story
 
wezi tu hawa shame on them!! wana anzisha vita in our soil then watu wakija kwenye nchi zao(migrants) wanaanza kuwabagua hawawapi kazi etc! these white guys are mad, and i hate them! inabidi hata kwenye hii mikataba ya madini tuwe tunawakata kodi kwa % 90 kwa sababu wanajipenda tu wenyewe wakija kwako basi ujue kuna maslahi!!
 
Ipo mifano tayari,
Reconstruction ya Iraq, nini wamefanya?
Iraq inang'ara sana sasa hivi? Amani na utulivu, demokrasia kwa magunia, unachukua inayokutosha!!!

Yes, kwanza piga mabomu, haribu miundo mbinu..ingiza fikra katika vita vya watu kuwa utawasaidia kujenga upya, maana yake nini? utegemezi ,pia kupachika viongozi vibaraka.

Pia ni mpango wa kuivunja nguvu ndoto na nia ya Afrika kuungana na hasa kuanzisha ile benki ya Afrika ambayo ingeifanya IMF na World Bank kutokuwa na nafasi tena ya kuzihujumu nchi za Afrika kupitia mikopo yao na masharti magumu.

Inasikitisha kuna watu hawaoni athari hii na wanafurahia kuharibiwa kwa nchi ambayo imejaribu kuinua hali ya maisha ya wananchi wake.

Iraq waliingia kwa sababu za kizushi na uongo.
Pia Libya wameingia kwa kupindisha kauli ya Gaddafi kuwa "amesema atawafyeka raia wake".
Gaddafi alisema no mercy to traitors wenye silaha, lakini aliwambia wasio na silaha hawana cha kuhofia.

Baada ya Libya, Eritrea?

YouTube - END WAR: Gaddafi's Message Expresses No Mercy Or Pity To Infidels And Traitors--Qatar, Kuwait, Etc
 
NATO chief envisions role in reconstruction of Libya

13.05.2011 02:30

NATO Secretary General Anders Fogh Rasmussen on Thursday envisioned a role for the military alliance in the reconstruction of Libya after the government of Muammar Gaddafi is toppled, Xinhua reported. "In a post-Gaddafi era, I think we may still have a role to play in assisting a new Libyan government in the transition to a sustainable democracy," Rasmussen said in response to a question after making a speech on NATO at the Washington-based Johns Hopkins University. "One of the areas where NATO has particular expertise is reform of the military and security sectors," he added, noting that a central part of transition to democracy is for the military and security sectors coming under "democratic control." "To that end, we need reforms, and this is an area where NATO could assist," the NATO chief said. Full Story

Kama kawa ya US...Knights in shinning amor... Ready to rescue na kuhakikisha wanarudisha gharama walotumia mara dufu... Hivi watu wanayoyaona yote haya na wana support are they blind or are they blond??????

Tatizo kubwa lipo kwa walibya wenyewe kukubali ujinga huu, nchi yao nzuri wamekubali iharibiwe namna hiyo. Watamkumbuka gadafi shauri yao.
 
Nawapongeza wachingiaji wote kwenye hii thread kwa ukomavu wenu. Ila tujiulize ipo wapi AU? Wapo wapi marais wetu wa nchi za kiafrica? Wanashinwaje kuvunja uhusiano na nchi za magharibi kwa uonevu na uuaji wa kukithiri? Wengine ndio tunazinduka wakati ni asubuhi na Africa imeteketea.

Kwa hili nchi za magharibi zinafanikiwa kwa muda tu, kwa sababu waafrica wengi sana waliokwenda kufanya vibarua Libya wamekufa na damu yao haitapita hivi hivi. Ebu fikiria kwa sababu wanauawa na hao rebel kwa NATO ni sawa kwa siyo watu ni kama nyani porini. Hapo ndipo AU inastahili ijichomeke. Pia Gaddafi kuwindwa kama swala wakati azimio lao halikuwapa madaraka hayo ni ajabu sana kwa AU kulinyamazia. Hiyo ndiyo picha halisi ya watawala wa kiafrica.
 
Wa-Libya sioni wanakimbilia Niger, Sudan, Chad etc badala yake, wanapanda viboti uchwara na ku-risk life and limb kwenda Italy (ambapo wamefurika zaidi ya 300,000) na nchi za Ulaya, kwa hiyo kwa nini NATO wasiwe in control of the overall situation in Libya? Ndiyo maana hata majuzi Italy ilimpa ultimatum Ghaddafi aondoke Libya maana ni mzigo kwa nchi zao kuwasitiri Wakimbizi wote kutoka Libya.
 
wezi tu hawa shame on them!! wana anzisha vita in our soil then watu wakija kwenye nchi zao(migrants) wanaanza kuwabagua hawawapi kazi etc! these white guys are mad, and i hate them! inabidi hata kwenye hii mikataba ya madini tuwe tunawakata kodi kwa % 90 kwa sababu wanajipenda tu wenyewe wakija kwako basi ujue kuna maslahi!!

Ipo mifano tayari,
Reconstruction ya Iraq, nini wamefanya?
Iraq inang'ara sana sasa hivi? Amani na utulivu, demokrasia kwa magunia, unachukua inayokutosha!!!

Yes, kwanza piga mabomu, haribu miundo mbinu..ingiza fikra katika vita vya watu kuwa utawasaidia kujenga upya, maana yake nini? utegemezi ,pia kupachika viongozi vibaraka.

Pia ni mpango wa kuivunja nguvu ndoto na nia ya Afrika kuungana na hasa kuanzisha ile benki ya Afrika ambayo ingeifanya IMF na World Bank kutokuwa na nafasi tena ya kuzihujumu nchi za Afrika kupitia mikopo yao na masharti magumu.

Inasikitisha kuna watu hawaoni athari hii na wanafurahia kuharibiwa kwa nchi ambayo imejaribu kuinua hali ya maisha ya wananchi wake.

Iraq waliingia kwa sababu za kizushi na uongo.
Pia Libya wameingia kwa kupindisha kauli ya Gaddafi kuwa "amesema atawafyeka raia wake".
Gaddafi alisema no mercy to traitors wenye silaha, lakini aliwambia wasio na silaha hawana cha kuhofia.

Baada ya Libya, Eritrea?

YouTube - END WAR: Gaddafi's Message Expresses No Mercy Or Pity To Infidels And Traitors--Qatar, Kuwait, Etc

Kama kawa ya US...Knights in shinning amor... Ready to rescue na kuhakikisha wanarudisha gharama walotumia mara dufu... Hivi watu wanayoyaona yote haya na wana support are they blind or are they blond??????

Suala la kulaumu wazungu halikuanza leo na inaonekana halitaisha leo. Tukipata matatizo tunawahi kuwa na majibu mepesi, "NATO hao, USA hao, Wazungu hao," baada ya hapo tunaenda kushangilia mpira. Hakuna zaidi.

Asije mtu hapa akaniambia kuna nchi ambazo ziko kwa ajili ya nyingine. Mgogoro wa Libya haukuanzishwa na US, ulianzia Tunisia; lakini ni kweli pia US na wenzake wamekuwa na uhasama wa muda mrefu na Gaddafi. Kwa hiyo kama wana interest pakitokea opportunity wanaitumia. Huenda isiwe fair kwetu lakini ndivyo dunia ilivyo.

Sasa suala langu hapa linakuja hao "wanaotumiwa" na "kudanganywa" na US wako wapi. Ubongo wao unafanya kazi gani? Kwanini wao hawawazi kama ninyi? Uko wapi umoja wa Afrika wakati Gbagbo anang'ang'ania madaraka? Mko wapi watu weusi? Mko wapi Waafrika? Mko kwenye vijiwe mnalaumu Marekani? Mnalalamikia bidhaa za China? Zenu ziko wapi? Ninyi Watanzania ambao nchi yenu haivamii nchi nyingine mbona wanajeshi wenu wanapiga raia non-selectively? Hivi..................Ah!!

Natamani kulia!!
 
ni mjomba mi ninachoona kwanza tuanze kubadilika nyumbani then ndo nje....
si wapendi sana us na nchi za magharibi aaaagrrhh!!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
wezi tu hawa shame on them!! wana anzisha vita in our soil then watu wakija kwenye nchi zao(migrants) wanaanza kuwabagua hawawapi kazi etc! these white guys are mad, and i hate them! inabidi hata kwenye hii mikataba ya madini tuwe tunawakata kodi kwa % 90 kwa sababu wanajipenda tu wenyewe wakija kwako basi ujue kuna maslahi!!

bora umeona hili mkuu kuna vilaza wengine hawajui hawa wazungu ni wabaya sana...na wala haipo siku wataipenda Afrika angalieni hata kwenye timu za mpira wa miguu juzi wanabagua vijana weusi huko Ufaransa pumbafu sana hawa...
 
i guess we should read the 48 laws of power friends to understand this NATO nations some of the laws are as follows just a few

1. Despise free lunch

2. Plan all the way to the end

3. Play a sucker to catch a sucker - seem dumber than your mark

4. Pose as a friend work as a spy

5. Crush your enemy totally

6. Learn to keep people dependent on you

7. Make other people come to you use bait if necessary

8. Get others to do the work for you but always take the credit.

let me end on those few laws, its such an interesting book with lot of true examples please try get it and read it, hata huyo rafiki aliyesema tunawalaumu tu naomba asome this few laws then ataelewa zaidi. to be smarter in this life we need to understand the working laws of the world.

what some Africans don't understand is that no free lunch in this world. we think misaada ni misaada tu.
 
Suala la kulaumu wazungu halikuanza leo na inaonekana halitaisha leo. Tukipata matatizo tunawahi kuwa na majibu mepesi, "NATO hao, USA hao, Wazungu hao," baada ya hapo tunaenda kushangilia mpira. Hakuna zaidi.

Asije mtu hapa akaniambia kuna nchi ambazo ziko kwa ajili ya nyingine. Mgogoro wa Libya haukuanzishwa na US, ulianzia Tunisia; lakini ni kweli pia US na wenzake wamekuwa na uhasama wa muda mrefu na Gaddafi. Kwa hiyo kama wana interest pakitokea opportunity wanaitumia. Huenda isiwe fair kwetu lakini ndivyo dunia ilivyo.

Sasa suala langu hapa linakuja hao "wanaotumiwa" na "kudanganywa" na US wako wapi. Ubongo wao unafanya kazi gani? Kwanini wao hawawazi kama ninyi? Uko wapi umoja wa Afrika wakati Gbagbo anang'ang'ania madaraka? Mko wapi watu weusi? Mko wapi Waafrika? Mko kwenye vijiwe mnalaumu Marekani? Mnalalamikia bidhaa za China? Zenu ziko wapi? Ninyi Watanzania ambao nchi yenu haivamii nchi nyingine mbona wanajeshi wenu wanapiga raia non-selectively? Hivi..................Ah!!

Natamani kulia!!

Mkuu 3D..wewe lia ukimaliza kulia ,nyamaza halafu pana kaswali haka.
Je wewe 3B ni mzungu? Red indian? Mchina? Mwarabu? Mhindi? au mwafrika?
Kama ni mwafrika unataka kutuambia kuwa huna majibu ya masuali uliyoyauliza hapa?

Kama wewe ni mwafrika na una masuali haya na kujifanya si sehemu ya kundi hili la waafrika, huoni kuwa tatizo ndio lipo hapo?. Kila mwafrika anajiona yeye hahusiki! Hayumo! Hawezi kufanya kitu kubadilisha uoza huu tulionao.

Kila mmoja anafikiri kama wewe unavyofikiri, sisi vs ninyi..mimi vs ninyi.
Kama kubadilika ,yampasa kila mwafrika kubadilika na kuingia kundini ili kuleta mageuzi.
Tafakari mkuu.

Umma unahitaji kuamshwa ili uweze kuchukua hatua, una mchango katika hili. Usijitoe kundini. Mawazo yako mazuri na michango yako itasaidia kuamsha umma na kujielewa.Mengine yatafuatia.
Wenyewe husema Rome haikujengwa kwa siku moja!
 
Suala la kulaumu wazungu halikuanza leo na inaonekana halitaisha leo. Tukipata matatizo tunawahi kuwa na majibu mepesi, "NATO hao, USA hao, Wazungu hao," baada ya hapo tunaenda kushangilia mpira. Hakuna zaidi.

Asije mtu hapa akaniambia kuna nchi ambazo ziko kwa ajili ya nyingine. Mgogoro wa Libya haukuanzishwa na US, ulianzia Tunisia; lakini ni kweli pia US na wenzake wamekuwa na uhasama wa muda mrefu na Gaddafi. Kwa hiyo kama wana interest pakitokea opportunity wanaitumia. Huenda isiwe fair kwetu lakini ndivyo dunia ilivyo.

Sasa suala langu hapa linakuja hao "wanaotumiwa" na "kudanganywa" na US wako wapi. Ubongo wao unafanya kazi gani? Kwanini wao hawawazi kama ninyi? Uko wapi umoja wa Afrika wakati Gbagbo anang'ang'ania madaraka? Mko wapi watu weusi? Mko wapi Waafrika? Mko kwenye vijiwe mnalaumu Marekani? Mnalalamikia bidhaa za China? Zenu ziko wapi? Ninyi Watanzania ambao nchi yenu haivamii nchi nyingine mbona wanajeshi wenu wanapiga raia non-selectively? Hivi..................Ah!!

Natamani kulia!!

Una haki ya kujisikia kulia.... Muelekeo, future na the way dunia inaendeshwa its madenning.... Nimependa perspective yako....

Katika paragraph yako ya mwisho (in bold) ni kwamba nyingi ya habari ambazo zilikua zinatolewa kuhusu Libya na matokeo yote toka hiyo the so called initial attack of 'Odyssey Dawn' habari tunazopewa si zote ni kweli na zilikua zinampaint Gadaffi vibaya... Wao walilenga wachache tu wakawatumia hao na kuwapa support hivyo katika macho na dunia ya watu - huonekana ni the majority ambao hawajaridhika... (Mf. chuo cha UDSM - migomo huendeshwa kwa kuandamana not more than 300 Scholars of more than 5000 but impact yao huonekana ni kubwa kana kwamba every student alishiriki)....

Ndio Gadaffi ana elements za u-dictator... but which leader does not have that katika our world today.... BUT Nampa respect because huduma za muhimu zoooote kwa wananchi wake ni FREE of charge... mara nyingi kama vitu muhimu ni free wananchi nguvu yakutaka saana mageuzi ni ndogo hivyo ni wachache wenye kelele.... Kama Gadaffi mwenyewe alivyoongea kua I take care of my people na the ones complaining and want me out are the few majorities who are already well off but want more for them selves... (Not in the exact words but exact meaning).

For further clarification nimependa saaana Nonda Maelezo yake...
 
SIFURAHISHWI NA MAMBO MENGI WANAYOFANYA / TUFANYIA WAZUNGU , KIUCHUMI,KIUTAWALA LAKINI NACHUKIZWA KABISA NA MAMBO WANAYOFANYA WATAWALA WA AFRICA, GADDAFI AKIWA MMOJA WAO,UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI NA MAJIBU MEPESI MEPESI KWA MAMBO SERIUOS
1.KTK HOTUBA YAKE YA KUPINGA UVAMIZI WA NATO GADDAFI ALIJIEXPRESS AKIJITUKUZA KTK
(a) UDINI
(b) UARABU
(c) RANGI
AKITOA MWITO KWA WAISLAMU KUUNGANA KUPINGA UBEBERU WA KIMAGHARIBI DHIDI YA UISLAM, PIA AKIZIOMBA JUMUIA MBALIMBALI ZA KIISLAM KUMWUNGA MKONO KTK MAPAMBANO HAYO.
JE? UKISHA WAGAWA WATU KWA NAMNA HIYO UNATEGEMEA NANI MWENYE HEKIMA AKUGOMBELEZEE???? JE ULIMSIKIA AKITAMKA KUITAKA AU KUINGILIA KATI??? au HATA HUKUFUTILIA HAYO????
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Ni hulka ya mwanadamu yeyote kujipendelea hali inaporuhusu. Angalia mfano watawala na matajiri wanavyohodhi viwanja na ardhi nzuri ktk kila mkoa hapa Bongo! Mi naamini hata kama Tz ndiyo ingekuwa Super power hapa duniani, tungefanya haya haya wanayofanya leo. Angalia kwa mfano Russia na China wanalalamika kuhusu yanayotokea Libya, wakati huohuo hawatuonyeshi njia tofauti ya kusuluhisha kwa mfano mgogoro wa Siria. Ikitokea west waingie huko tutasikia makelele hayahaya.
 
Sha nimkupata where it is coming from because post yako iko more based katika hotuba unayozungumzia, na Gadaffi katoa hutuba against the Nato attacks zaidi ya moja.. in short nyingi... I would appreciate niambie ipi exactly.... Kabla sijagusia lolote
 
Mkuu 3D..wewe lia ukimaliza kulia ,nyamaza halafu pana kaswali haka.
..............................................

Mkuu Nonda nimeshamaliza kulia. Sasa najibu maswali;

  1. Mimi ni Mwafrika (Mweusi) na nakubaliana na dhamana na wajibu nilionao kwa jamii yetu. Nakubali pia nimetumia lugha inayoonesha najiondoa katika kundi la Waafrika au Watanzania naowalaumu, actually sijiondoi kundini ila nimetumia angle ya kuwa nje ya kundi "kuwashambulia" wanaojiita Waafrika au Watanzania ilhali hawafanyi chochote kwa U-Afrika au Utanzania wao.
  2. Malalamiko yangu ni juu ya Afrika na Waafrika kuwa mashabiki wa kile kitokeacho Ulaya/Amerika na Arabuni. Ni rahisi kusikia Waafrika (Weusi - kwa sababu wasio weusi hawaamini kuwa wao ni sehemu ya Afrika) wakipigana vikumbo juu ya Marekani na Ulaya tena kishabiki kabisa wakati hawaoni yanayotokea Congo, Mauritania, Uganda, Nigeria, Chad, Equatorial Guinea etc. Wakitazama basi wataangalia kwanza Marekani inampinga au kumuunga mkono nani.
  3. Viongozi wa kiafrika hawana maamuzi yoyote juu ya Afrika zaidi ya kuangalia US au France inaegemea wapi. Lakini viongozi wa kiafrika hawana maamuzi juu ya wenzao. Angalia kilichotokea Ivory Coast. Gbagbo alikuwa anabembelezwa. Acha wafaransa wafanye kazi hata kama ni kwa maslahi yao kwa sababu "Watakatifu wa Afrika" hawana maamuzi yoyote. Vilaza tu hawa.
  4. Nakubaliana na changamoto yako kwangu kama mwanajamii. Kwa kweli nafanyia kazi kile nachoweza kukifanya. Inshallah, nitaku-pm nikifanikisha efforts zangu, inaweza kuchukua miaka kadhaa. Tuombe.
Una haki ya kujisikia kulia.... Muelekeo, future na the way dunia inaendeshwa its madenning.... Nimependa perspective yako....

Katika paragraph yako ya mwisho (in bold) ni kwamba nyingi ya habari ambazo zilikua zinatolewa kuhusu Libya na matokeo yote toka hiyo the so called initial attack of 'Odyssey Dawn' habari tunazopewa si zote ni kweli ..............

Ndio Gadaffi ana elements za u-dictator... but which leader does not have that katika our world today.... BUT Nampa respect because ..................................

Asha D, sihitaji CNN au RT au CCTV wanielze kuhusu Muammar. CNN hawasemi Muammar alimsaidia Amin kushambulia TZ. Hawasemi pia juu ya kashfa za Muammar kwa Ukristo (siutetei Ukristo ki-udini, usikwazike Asha D, p'se) na viongozi wenzake wa kiafrika, hili nalijua mwenyewe. Na kwa kweli si tu Muammar ana "elements" za udikteta kama unavyosema ila ni Dictator kabisa. Kuwa dikteta haimaanishi kuchinja tu watu inaweza kuwa kuondoa chance ya mawazo mapya. Kwani Museveni ni dikteta au siyo?

Tatizo langu Asha ni ushabiki wa Waafrika. Waafrika wako tayari kubaguana kwa migogoro ya Ulaya na Arabuni (japo si vibaya kujihusisha) lakini si kwa mambo ya ndani ya nchi zao. Wakiangalia nchi zao wanatazamana kwa macho ya kizungu na kiarabu au kidini. Namshabikia Dr Slaa (angalau kwa mambo machache) lakini leo anatukanwa na watoto wadogo humu JF kwa sababu ya "Ukristo" wake au kuna watu wanamtukana Kikwete kwa sababu ya Uislamu wake, shame on them. Pamoja na JK kujitaja kama "maamuma" lakini kwa mawazo yangu binafsi Kikwete hana udini wowote kichwani kwake (naweza kutoa hoja na mifano kama nitalazimika). Magazeti kama An'nur na Al-Huda (huwa naona mwenyewe) pamoja na Radio Imaan (watu wanasema, mi sijawahi kuisikia) yanasambaza chuki na yakaachwa tu, Asha waweza kunijibu vizuri hapa kwa sababu nadhani unafahamu vizuri jambo hili. Binafsi siko tayari kuutetea "Ukristo" kwa sasabu "Waislam" wanaupinga ila nawasikitikia Waafrika kwa kuwa hawana (Nonda anapenda niseme hatuna na si hawana) chao cha kujadili. Hapo ndipo tatizo langu lilipo. Gadhaffi, Gadhaffi,Gadhaffi,Gadhaffi,Gadhaffi, US, US,US,US,US,US....... mbona hatusemi Uganda, Ivory Coast etc kwa nguvu hizo hizo?

"Emancipate yourselves from mental slavery........some say it's just a part of it we have got to fulfill the book, Oh, won't you help to sing.......redemption song."
SIFURAHISHWI NA MAMBO MENGI WANAYOFANYA / TUFANYIA WAZUNGU , KIUCHUMI,KIUTAWALA LAKINI NACHUKIZWA KABISA NA MAMBO WANAYOFANYA WATAWALA WA AFRICA, GADDAFI AKIWA MMOJA WAO,UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI NA MAJIBU MEPESI MEPESI KWA MAMBO SERIUOS
1.KTK HOTUBA YAKE YA KUPINGA UVAMIZI WA NATO GADDAFI ALIJIEXPRESS AKIJITUKUZA KTK
(a) UDINI
(b) UARABU
(c) RANGI
AKITOA MWITO KWA WAISLAMU KUUNGANA KUPINGA UBEBERU WA KIMAGHARIBI DHIDI YA UISLAM, PIA AKIZIOMBA JUMUIA MBALIMBALI ZA KIISLAM KUMWUNGA MKONO KTK MAPAMBANO HAYO.
JE? UKISHA WAGAWA WATU KWA NAMNA HIYO UNATEGEMEA NANI MWENYE HEKIMA AKUGOMBELEZEE???? JE ULIMSIKIA AKITAMKA KUITAKA AU KUINGILIA KATI??? au HATA HUKUFUTILIA HAYO????

Gaddafi anapotaja Uarabu au Uislam au Uafrika anajua udhaifu wetu kimawazo. Yakishatajwa hayo sisi hatujiulizi tena ni kumwaga hasira tu. Afrika hiyo.

Ni hulka ya mwanadamu yeyote kujipendelea hali inaporuhusu. Angalia mfano watawala na matajiri wanavyohodhi viwanja na ardhi nzuri ktk kila mkoa hapa Bongo! Mi naamini hata kama Tz ndiyo ingekuwa Super power hapa duniani, tungefanya haya haya wanayofanya leo. Angalia kwa mfano Russia na China wanalalamika kuhusu yanayotokea Libya, wakati huohuo hawatuonyeshi njia tofauti ya kusuluhisha kwa mfano mgogoro wa Siria. Ikitokea west waingie huko tutasikia makelele hayahaya.

Ukweli ni kuwa hakuna Super-Power ambayo itakuwa nzuri kuliko Marekani. Russia ilikuwaje wakati ina nguvu? China wanaishi "kimjini-mjini" kwa kuangalia upepo, hawaweki Veto badala yake "wana-abstain" from voting, halafu sisi tunawaona wazuri. China hata Ivory Coast wangeuana vipi usingewasikia wakiongea, wanasubiri US iseme wao wapinge, wazembe tu hawa. Sasa wazuri akina nani Uswisi? Au Sweden? Kwa lipi? Kunyamaza?

Martin Luther King Jr.,"At the end of this we will not remember the noise of our enemies but the silence of our friends."
Desmond Tutu, "If there is injustice happening and you don't do anything about it then you have joined the side of the offender."

Afrika tumegeuka makasuku tu, maswali magumu tunatoa majibu mepesi, "US, Oil, Muslim, Christian, Chagga." Crap.
 
Back
Top Bottom