mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 821
- 1,343
Nimeshikwa na hasira mpaka zimeniisha,sielewi kwa nini wanabagua mtu wa kumfanyia haraka na mtu wa kumfanyia baada ya mwezi,namaanisha hapa ningekua ni kigogo usiku huo huo mngekuja haraka sana,lakini kwa sababu ni kabwela acha niteseke kwanza ! Ina maana gani sasa nyie kuitwa emergency ? Kama ni isue kubwa si mngekuta maafa ? Au mnataka maafa yatokee ndio mkiri kweli alipiga simu na tulipanga tukaangalie tatizo ? Kama kuna boss anasoma hapa naomba mjue kua tanesco ni ya vigogo na walala hoi, halafu kinachoniumiza tunaofanyiana hv wote walala hoi , jamani kama kuna mchango natakiwa kutoa mniambie nitoe mje eeeh jamani , hii si haki kabisa! Inaniuma sn siwezi endelea andika vidole vimechoka ila sikui mkikaa kwenye 18 zangu mtajuta na familia zenu na mimi ntaonesha makucha yangu !