Nategemea Hili kutokea mwezi huu

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,480
78,729
kwakua ndugu zetu waislam..ni wakarimu na waungwana na wako kwenye kipindi cha mfungo wa Ramadhani
natagemea basi..Dada FAIZA FOXY kumkaribishana FUTARI na DAKU Rev Masanilo....MUADHIRI kumkaribisha PAKA JIMMY
JEYKEY naye kumkaribisha SPEAKER....NYANI NGABU...yeye atakula DAKU tu kwa Lizzy..
ST IVUGA..nitakupangia baadae....

wengine kama mnaijua mialiko ya FUTARI NA DAKU..tuwekeeni Hapa..list inaruhusiwa kuongezwa ,kukosolewa..nasi kupingana nayo..

just a funny

JF...Chit-Chat
 
Malaria Sugu kumkaribisha futari Pdidy, Saint Ivuga, Rev Masanilo nk
 
mohamed shosi atamualika matola na mtm,Aine bd cjajua futari anakualika nani?
 
Back
Top Bottom