Natangaza nampenda "Smile"

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na akitoa mada atajitahidi sana kumjibu kila mtu tofauti na watoa mada ambao akishatoa mada yeye anaishia hachangii tena. Kumbuka kisa kilichompata cha kutonyoa mavuzi na ile ya kupimwa mimba na headteacher. Smile i love you !, you are brilliant gal !
 
Jana Smile alinitumia ujumbe unasomeka hivi
Dunda nakupenda sana hahahah mkuu rigwarride unalolianzisha utapiga kwata saa saba mchana kwenye kijua kikali
 
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
 
Mwenyewe kasema tufunge thread hii, kumbe Rijao smile mambo yako eee? basi namhurumia maana kwa akili yako na yake vitu viwili tofauti. lakini nitam PM akusaidie kukubadilisha mtazamo.
Jana Smile alinitumia ujumbe unasomeka hivi
Dunda nakupenda sana hahahah mkuu rigwarride unalolianzisha utapiga kwata saa saba mchana kwenye kijua kikali
 
kumbe kama ni hivyo ume m rank rejao chini kuwa bora wengine wasikupend hata asiyejua kuchagua naye amekutosa?

hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
 
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!
 
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
ahahaaa marytina nikupunguzie nilikuambia njoo dar huku achana na wamasai na wajaluo huko huku raha hapa tunachit chat pia kanipm keshanitumia laki mbili za tax kwa mpesa nimdate holiday inn kwa dinner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom