Tatizo la bongo kuna siasa maneno mengi bila vitendo
hapo ndo panapokera maneno meengi mara maisha bora kwa kila mtanzania huku hata maji safi ni tatizo sasa ni safari ya matumaini utafikiri nchi ina ngoma hadi inakera! mafisadi wameshika hatamu kila leo wanasafiri nje wanaona maendeleo ya wenzao ila wakirudi bongo hata hawajifunzi wao wanawaza kuiba tuuu!!!! hata mimi ningekuwa bongo nadhani ningehamia kenya kabisa napapenda nairobi sema sasa hao alshabab hapo ndo tatizo.