Natamani kuona picha ya JK akiwa mdogo, natamani kuona ya tundu lissu pia akiwa mdogo!!!

THECHANCE

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
300
121
Hi Wanadau wa jamii photos!!

If someone can help, plz saidia am just curious to see km ile ya rais wa kenya akiwa mdogo!!!!

Ahsanteni!!
 
Itakusaidia nini?? Kama mtu mzima na picha yake iko katika kikla ofisi bado unaona anayofanya, hiyo ya utotoni itakusaidia kugundua chanzo cha anavyotuongoza au???
 
Itakusaidia nini?? Kama mtu mzima na picha yake iko katika kikla ofisi bado unaona anayofanya, hiyo ya utotoni itakusaidia kugundua chanzo cha anavyotuongoza au???
Teh teh teh!!!! u have made my day.....una akili nyingi sana coz nime assume picha ya kikwete kwenye tshirt ya ccm then nika assume pcha ya kikwete akiwa mdogo. teh teh teh kwa kweli nchi yetu ina vituko sana,kama nitakuwa nimekosea mnisahihishe nionavyo mimi JK utotoni alikuwa anapenda kudhurula sana tabia ambayo ameiendeleza mpaka leo(fast jet)
 
MMmmmh hauko mbali na ukweli ndugu yangu, waswahili wanasema samaki mkunje angali mbich, inaelekea JK kweli alikuwa mzururaji thehehehehehehehehehe! hauko mbali na ukweli.
 
Huwezi kuipata kwa kuwa huenda alikuwa anachunga mbuzi Msoga huko...
Rais wa sasa wa Kenya umeweza kumuona akiwa mdogo kwa kuwa kakukulia Ikulu hivyo suala la picha lilikuwa ni kila iitwapo leo.

Hi Wanadau wa jamii photos!!

If someone can help, plz saidia am just curious to see km ile ya rais wa kenya akiwa mdogo!!!!

Ahsanteni!!
 
Huwezi kuipata kwa kuwa huenda alikuwa anachunga mbuzi Msoga huko...
Rais wa sasa umeweza kumuona akiwa mdogo kwa kuwa kakukulia Ikulu hivyo suala la picha lilikuwa ni kila iitwapo leo.

Napenda majibu km haya yasioocha maswali...........ahsante sana mkuu watu8, nashukuru sana mkuu!!

copy: Mtoto halali na hela
 
Last edited by a moderator:
Kuna hii picha niliiona hapa jamvini siku ya Ijumaa, binafsi ninahisi huyo dogo wa kulia huenda akwa ndiye mkuu wa kaya...

149432_428337173925279_1929289374_n.jpg
 
Back
Top Bottom