Natamani kuokoka' lakini!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kanisa nililotembelea wameniambia nisikanyage bar milele'sasa nikiwaza kuhusu maisha yangu hakuna siku ambayo sijatembelea bar wala hakuna siku nimelala bila kunywa pombe,haya masharti ni magumu kuliko nilivyofikiri
 
sasa wewe ulijua kwenda kwa Yesu ni ku-beep kwanza? @!! Kule ni kujikana cio kujitandaza,hata ukienda kutafuta dawa kwa mchawi, lazima akupe masharti yake, ndipo dawa yake itashika.
 
Ulevi ni dhambi director!! Mjaribu Yesu ila usibeep. Mwambie Bwana Yesu unataka kuacha pombe lakini unashindwa. He will do the rest. Just tell Him if you are serious with the okoka business.
kanisa nililotembelea wameniambia nisikanyage bar milele'sasa nikiwaza kuhusu maisha yangu hakuna siku ambayo sijatembelea bar wala hakuna siku nimelala bila kunywa pombe,haya masharti ni magumu kuliko nilivyofikiri
 
Ishi maisha yako mkuu..
wengi wanadhani maisha yao au njia zao za maisha ni bora kuliko za mwingine..
 
kila nikifikiria kuacha pombe nahisi kama ni ndoto'ila ikitokea nikaacha pombe nitaamini kuna mungu
 
Mimi pombe sinyi ila zoezi la kuokoka ni gumu sana kwangu maana pombe siyo zambi pekee kuna vitu vingi sana unatakiwa kujikana navyo kama vile kuacha totoz kitu ambacho kwangu sikiwezi. Ingekuwa kuokoka ni kuacha pombe basi mimi ningekuwa mlokole
 
He he he wewe mkweli mpaka raha
 
Wamekosea kukuambia hivyo. Wanatakiwa wakujenge ukue kiroho kwa kukfundisha madhara ya kwenda bar
 
Hahahaaa! Uza kila kitu mkuu, mshahara wako wote utoe sadaka na michango kanisani, acha ajira na biashara zako zote; hapo utakuwa tayari kwa ajili ya wOKOVU!
 
Sasa mkuu nikiacha kila kitu nitaishije?
 
kanisa nililotembelea wameniambia nisikanyage bar milele'sasa nikiwaza kuhusu maisha yangu hakuna siku ambayo sijatembelea bar wala hakuna siku nimelala bila kunywa pombe,haya masharti ni magumu kuliko nilivyofikiri

...Basi usiukoke kwa sasa subiri mpaka pale utakapokuwa tayari kuyatimiza masharti uliyopewa. Inaweza kuwa mwezi toka sasa, miezi sita toka sasa, mwaka au hata zaidi ya mwaka. Kila la heri.
 
Mimi pombe sinyi ila zoezi la kuokoka ni gumu sana kwangu maana pombe siyo zambi pekee kuna vitu vingi sana unatakiwa kujikana navyo kama vile kuacha totoz kitu ambacho kwangu sikiwezi. Ingekuwa kuokoka ni kuacha pombe basi mimi ningekuwa mlokole

Hivi mkuu nyie msiokunywa pombe mnajisikiaje?mkitaka kufurahi mnafanyaje?siami kama totoz zaweza kuweka steam kama pombe'
 
...Basi usiukoke kwa sasa subiri mpaka pale utakapokuwa tayari kuyatimiza masharti uliyopewa. Inaweza kuwa mwezi toka sasa, miezi sita toka sasa, mwaka au hata zaidi ya mwaka. Kila la heri.

Mkuu umewaza mbali sana'huu ushauri ni mzuri lakini nimeanza rasmi kwenda church leo'nitajifichaficha humo ndani mpaka niwe safi
 
Back
Top Bottom