Natalia mpenzi wangu wa kitajiri njoo nikuchumu!

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,602
9,369
Huyu mtoto leo namuhitaji, please atakayenionea maana kanaonekana kana pozi sana. Nimegundua kumbe babu aliniachia bilioni thelathini kule uswisi menzi njoo tuzitafune. PESA NINAYO UKINICHUNA NAONA SAWA! Njoo mamii achana na huyo ***** wako kakuzalisha watoto watatu anakuzeesha tu! Mkinionea chaurembo wangu pleeez!
 
Hee jamani kumbe kusema b*w*e*g*e ni offence humu? Eh sikufahamu! Anyway Natalia njoo twenzetu visiwani Malibu! Au twende kutalii sayari ya Mars if you don't mind!
 
hahahhahaa! mwenzio anamilikiwa na tycoon, sasa wewe tajiri wa kisemvule utamuweza????
huyo si saiz yako babu waache wenye wallet zao wasome alama ebo!
 
Hivi jamani msimu wa baridi ushafika huko mliko? Hapa Arusha joto... ama ndio wakati wa heat kwa wanaume nini? Mtaa karibu wote ni malovee tu humu. khaaaa.
 
She is happile meredi na mai hasbendi wake mtasha,mwache yupo Miami anachop zi'money.. We piga kelele akija anakulipa.
Chezea mamaa katibu mukuu weyee.... Bilion zako za urithi, tek kea ukoo usije kukutoa kafara mweh!
Ukidroo sh'n kumi unakunja vidole usizidishe ziro mbele z'katoka nyingi!
Ye'za urith hajaanza tumia,zakwake bado za myhub wake ndo zipo on ze chop bode!
[ Natalia ] come puliz,
Bondpost mpendwa, usijepata shushu ukalia kutwa.. But al ze best!
 
Duuu una pesa weweeeeee?

Kwanza Natalia alishasema havutivi na black labda kama wewe mtasha.

Huyu mtoto leo namuhitaji, please atakayenionea maana kanaonekana kana pozi sana. Nimegundua kumbe babu aliniachia bilioni thelathini kule uswisi menzi njoo tuzitafune. PESA NINAYO UKINICHUNA NAONA SAWA! Njoo mamii achana na huyo ***** wako kakuzalisha watoto watatu anakuzeesha tu! Mkinionea chaurembo wangu pleeez!
 
Am waiting for her answer
kisha nitakuja kucomment
 
Duuu una pesa weweeeeee?

Kwanza Natalia alishasema havutivi na black labda kama wewe mtasha.

Mie atanipenda tu mazee, unajua nina vya urithi na mie sitaki atumie zake, wacha tuzimalize za urithi kwa mwaka hivi then tuine kama ataondoka. Mie nataka nione kama atanifilisi then anitose tusitumie za ukoo wake tajiri.
 
She is happile meredi na mai hasbendi wake mtasha,mwache yupo Miami anachop zi'money.. We piga kelele akija anakulipa.
Chezea mamaa katibu mukuu weyee.... Bilion zako za urithi, tek kea ukoo usije kukutoa kafara mweh!
Ukidroo sh'n kumi unakunja vidole usizidishe ziro mbele z'katoka nyingi!
Ye'za urith hajaanza tumia,zakwake bado za myhub wake ndo zipo on ze chop bode!
[ Natalia ] come puliz,
Bondpost mpendwa, usijepata shushu ukalia kutwa.. But al ze best!

Jamani we jitahidi ukimuona niletee nina hamu nae sana asichelewe tuzikamue za urithi ila mpaka ziishe hakiyanani atakuwa keshapata mimba tano za kuzaa na tano za kutoa marie stopes!
 
Hivi jamani msimu wa baridi ushafika huko mliko? Hapa Arusha joto... ama ndio wakati wa heat kwa wanaume nini? Mtaa karibu wote ni malovee tu humu. khaaaa.

Mapenzi yana-run dunia mkuu! Niletee Natalia wangu ukipita maeneo ya Miami nataka kwenda nae Malibu tukale raha za urithi wa babu yangu. Yeye zake atulie nazo, zangu zikiisha ataamua kama kunitosa au vipi!
 
hahahhahaa! mwenzio anamilikiwa na tycoon, sasa wewe tajiri wa kisemvule utamuweza????
huyo si saiz yako babu waache wenye wallet zao wasome alama ebo!

We mlete tutumie zangu za urithi mie sio tycoon ila nina kaurithi ka bilioni 3 hivi katatutosha kula raha kama mwaka hivi then ataamua kama arudi kwa tycoon wake au tuzitafune zake alizoachiwa na mamake mwenye mastaz!
 
mara ya mwisho kaonekana texas alikua anampigia kura Romney

Hahaha! Akipona kwenye kimbunga cha Sandy mwambie mambo ipo huku ni malibu, then croatia, malaysia halafu Morocco then Egyppt tunamalizia Thailand halafu atakuja kuamua kama anataka kuendelea na mimi au vipi. Aje tuzitumie mie sina mastaz ila nina bilioni tatu za urithi namtafuta tuzikamue.
 
She is happile meredi na mai hasbendi wake mtasha,mwache yupo Miami anachop zi'money.. We piga kelele akija anakulipa.
Chezea mamaa katibu mukuu weyee.... Bilion zako za urithi, tek kea ukoo usije kukutoa kafara mweh!
Ukidroo sh'n kumi unakunja vidole usizidishe ziro mbele z'katoka nyingi!
Ye'za urith hajaanza tumia,zakwake bado za myhub wake ndo zipo on ze chop bode!
[ Natalia ] come puliz,
Bondpost mpendwa, usijepata shushu ukalia kutwa.. But al ze best!

Tehe, eti ukitoa pesa anakunja ngumi, daaaah we mkaaaaare ila usijali mie za urithi nataka kuzikamua maana haziniumi wala nini especially nikitanua na mtoto Natalia pamoja anaonekana umri umeanza kumtupa mkono!!!! Pamoja na watoto wake watatu mie ndiyo nataka kupiga mashine ile.
 
Jamani we jitahidi ukimuona niletee nina hamu nae sana asichelewe tuzikamue za urithi ila mpaka ziishe hakiyanani atakuwa keshapata mimba tano za kuzaa na tano za kutoa marie stopes!

heheheh mi simo
 
natalia yupo disney wonder world hebu kamchek hapo ila utamkuta na mudhungu
 
heheheh mi simo

Yeye si anakanyumba kaurithi masaki? Hakazidi hata milioni mia saba! Aje nimbebeshe watoto watano fasta kwa bilioni tatu! Aachane na mzungu huyo kwanza hao wanawananihiaga mpaka kwenye 0713, ila na mie akitaka nitamchokonoa tu shaka aondoe.
 
natalia yupo disney wonder world hebu kamchek hapo ila utamkuta na mudhungu

Mwambie aachane na mambo ya disney twenzetu Croatia, Morocco, Malibu etc! Kuna B tatu za urithi hazina kazi tuzitafune aisee! Hebu mlete huku mamii na wewe waweza kuambulia tripu ya hapo Dubai jitahidi mama.
 
Back
Top Bottom