Nataka kuwashitaki Tanesco

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
Nina nia ya kuwa-sue tanesco nawadai 150,000 walinunua stationaries kwangu kwa mkopo ;ukijumuisha gharama za usumbufu na interest ,naweza lipwa shilingi ngapi wadau ?
Nimekuwa nikizungushwa tuu kila siku.
 
Sio tender na hakukuwa na lpo ila tuliwauzia waka-sign delivery

haya tena

mliwauziaje, cash au credit ? ina maana unakwenda kudai kwa kutumia delivery note, kama huna doc nyingine inayoonyesha njia ya mauzo/manunuzi ilivyofanyika wala usipoteze muda wa kuwashitaki
 
Ok kuna invoice na delivery ,walikopa on the condition dat payment will be made after issuing invoice
 
kama walikopa je una credit note ya aina yeyote, anyways huyo aliyekopa sijui kama alifuata utaratibu lakini inaonyesha mlikua mnafanya hivyo siku za nyuma

nahisi utalipwa kwa ucheweleshwaji, kwa nini usivumilie tuu kwani mashitaka utakayofungua itakuwa ni kesi ya madai
 
Nimevumilia na huu ni kama mwaka wa 3 na inaelekea kama hawataki kulipa ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom