Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Dah! kama hivyo ndivyo
ulivyoamua basi umefikia kikomo cha kufikri, nashangazwa sana na hoja
zako kiasi kwamba naona kama unafanya mzaha humu ndani, toka lini
ukafanyia kazi hisia '' Eti unahisi kuachika'' kumbe huna uhakika kama
umeachika,afu kama hivi ndivyo unavyopanga, utafute mwanaume legelege
asiyekuwa msomi, kwani nani alikueleza vigezo vya mapenzi bora na makini
ni elimu au kujazia misuli? kumbe hutafuti mwanaume wa kufanya naye
maisha ila unatafuta mwanaume kama kifaa cha '' VIBRATOR'' kwa ajili ya
kukidhi haja zako za kimapenzi tu, afu mwanaume anakupenda kwa dhati
hawezi kuzuzuka na mwanamke mwingine je, mara ya mwisho lini ulitafakari
kama wewe mwenyewe sio sababu ya mambo yanayokusibu?
Umekata tamaa sana na maisha kiasi kwamba umejiweka kuwa duni eti ''
IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA
KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN'' kumbe wewe ndo
unatafuta sio kutafutwa! au wewe sio mtanzania hujui mila na desturi
zetu? toka lini wewe ndo ukatafuta mwanaume? kwa mtizamo huu tayari
naona una kasoro maana sio kawaida, afu kitu kingine. Napenda
nikuhakikishie kama hivyo ndivyo unavyofikiri kamwe hutakuja upate
furaha ya mapenzi duniani, kaa chini tulia, usitake papara, unasema
unahisi kuachika kumbe bado hujaachika sasa unataka nini? amekutamkia
hakutaki? hata kama ingekuwa hivyo kwanini ukate tamaa kiasi hicho? ni
vile tu sijui umri wako pengine ningeelewa kwanini unapanga mambo kama
hayo.:A S 114:

duhh hii lecture na zaidi ya ambayo angeipata stationary
 
unajua swala la mapenzi watu wengi tunalichukulia juu juu sana,trust ndio kitu kikuu katika mapenzi na trust inakuja baada ya wapenzi kuwa satisfied baina yao so ushauri wangu tafuta mpenzi amabae wote mmeridhiana mkiingia mapenzini kwa sababu nyingine hamtafika mbali!! na ni rahisi kuwa cheated
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

kama unataka mwanaume legelege mtoto wa mama nenda kwenye vituo vya watoto yatima ukachukue mmoja umlee
 
Mimi huyu nimemsoma hatafuti kupendwa ila anatafuta mwanaume, na usipoangalia utakuwa unawanunua wanakula hela yako wakichoka wanaenda wanakopenda, maana kwako watakuwa wanafuata pesa tu na si kwamba wamekupenda maana wewe mwenyewe unatangaza dau, mwanaume atakuja na shida zake akudaganye anakupenda atakupa malovedavi yote. akishakuchuna vya kutosha anasepa, Tafuta mwanaume anaekupenda usitafute wa kumnunua. Unajifanya pedeshee kwa mshahara wa laki sita utachunwa mpaka ukome. Ushauri wangu hebu tulia wa kwako yuko njiani anakuja usiwe na papala ya kununua mwanaume.
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

unajua kupiga promo,..
 
Martina ulishatafuta wazungu ikashindikana na sasa unatafuta legelege. Legelege wengi ni wabuya unga hebu tembelea vijiwe vyao ukachague kwa raha zako

nisome mkuu.... yaan umeongea pumba tupu...kwa hiyo wazungu ndo sio wala unga?

nirudi kwako wewe dada
inaonesha kujiamin kwako kuko ziro mpaka mwisho
yaan pesa zako ndizo zinazokupa jeuri hapa mjini
husikae ukafikiria kupata mwanaume wa maisha kama huotobadirika..

mazaniga
 
Marytina.. hata kama umemwagwa, usichukulie papara. Tulia, tafuta, assess, halafu chagua atakayekufaa kwa mujibu wa criteria ulizojiwekea, na nina uhakika utampata. Lakini........ sidhani kama atakuwa wa kwako peke yake, labda utafute ka kisiwa fulani ka kuishi peke yenu in isolation.
 
Nitafute Mrembo mimi napatikana Sanawari karibu na Tanzanite G,Njia ya kuelekea Sanawari ya juu.Ni pm
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

tatizo ni wewe mwenyewe,pesa haiwezi kamwe kukupa furaha katika mahusiano.Tulizana na cku zote usishandane na ukubali kuwa chini ya m/mme.
 
mimi ninakidhi vigezo vyote ila mshahara wangu ni 300,000 ambayo siyo robo....tukikubaliana nitamuomba bosi anipunguzie mshahara hadi robo...ilitukae kwa amani
 
Mmmmmh dangerous dangerous dangerous, you would have taken the bullet if you saw it! you were flying, but now you are crashing! this is really bad though.
 
Back
Top Bottom