Samaki wa kupaka nishasikia sana, lakini kuku wa paka bado
Eliza Unaonekana ww mjuzi wa mahanjumati
Kukumega
Nimezaliwa coast, nishindwe kuyajua tena? Samaki ndio sawa tena miye nikikupikia we utamla mbele na nyuma hata bila ya kumgeuza..................sasa ishu inakuja kwenye kuku wa kupaka, si sekela si masala, mi nataka kukupaka
Huyu ndiye samaki wa kupaka
Huyu ndiye kuku wa kupaka
Kukupaka Boflo, hivi kuna kuku wa kupaka?
.Samaki wa kupaka nishasikia sana, lakini kuku wa paka bado
Eliza Unaonekana ww mjuzi wa mahanjumati
Boflo ni mkalimu sana huyu jamaa
Kumbe ww wa Coat..
Ni Tanga, mombasa, au Znz?
Wapi naweza kupata ladu za kingazija wanazoweka pilipili manga
Na mikate ya kingazija.....Yaani nimeimiss kichizi(Angalizo: mm si mngazija na sijawahi fika huko)
kaninunia hataka kusema.........
Lakini sijui kuku yupi unataka???
1-Kukuchoma
2-Kukukaanga
3-Kukuchemsha
4-Kukumasala
5-Kukumiss
6-Kukupigia
7-Kukupenda
8-Kukuacha
9-Kukusalimia
10-Kukukiss
Chagua kuku unayemtaka.....
View attachment 69013